NAFARIJIKA KUPOKEA MAWAZO KEDEKEDE YA NAMNA YA KUMPATA MDAU WA MILONI 2 KWENYE GLOBU YETU HII, JAMBO AMBALO LINATEGEMEWA KUTIMIA WIKI HII.
KAMA INAVYOFAHAMIKA TATIZO NI WADAU WENGI KUWA MAANONI, HIVYO INAKUWA SI RAHISI KUMJUA NANI NI NANI. NAKARIBISHA MAONI ZAIDI KWA SIKU MBILI ZIJAZO KABLA SIJATOA UFAFANUZI WA KUMPATA MSHINDI HALALI ATAKAYEPOKEA ZAWADI YA $500....
Poa, umesomeka.
ReplyDeletetupe basi uwoufafanuzi kaka michuzi
ReplyDeleteBana Michuzi kama kutuimia IP address ni rahisi tumia tu njia hiyo .
ReplyDeleteHawa watu wapiga makelele tu kila siku, kumbe bado hata hawa afford interner service inayoeleweka !
Idadi ikipungua nafasi yangu ya kushinda inaongezela , ha ha ha !
Kuna kitu kinaitwa IP Address.
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteKila mtu ana upeo wake wa kufikiri. Nadhani pia wewe wakati unaanzisha
hii bahati nasibu ya kumpata mtu atakaetembelea blog yako ulikuwa
umeshawaza kuwa mshindi atapatikana vipi. Kwa mimi nadhani idea ya IP
address inatosha kumpata mshindi, ila sasa inamaana wewe labda inabidi
uwe muda mwingi sana kwenye mtandao, ambapo nadhani kwa kumpata
mshindi kwa IP address, inamaana itakapo hit tu 2,000,000 moja kwa
moja itaonyesha IP ya mtu aliyehit blog, na mshindi atapata alert kuwa
ameshinda. Sasa kwako hapo ina maana, unaweza kutafuta wataalam wawili
watatu wa haraka, kwamba ni vipi unaweza ku 'ping' IP ya mtu, na
kumtumia ka message ka hapo hapo, kwamba ameshinda, then unampa labda
password fulani, ambapo hiyo, atakuandikia email, na kukutajia
password uliyomtumia thru IP address ya computer aliyekuwa ameingia
kwenye blog yako. Hiyo pia itasaidia kwa wengine ambao hawana
computers home kwao. So kithibitisho, itakuwa ni password utakayokuwa
umemtumia (automatically) Kwa upeo wangu wa chap chap nafikiria hivyo,
nadhani maoni ya watu wengine pia yatasaidia.
Nakupongeza thou kwa kufikiria kutoa zawadi, esp kwa watu wa nje ya
bongo, wanapata news na ma snap mengi ya kutoka hapo Daslam.
SAMCHOM hapa, nipo Kansas City, US
Rahisi tuu, kamata ip address (kutoka kwenye stats zako) halafu...(kwa kutumia IP address) unaweza kujua muda na mahali alipopatikana mshindi.
ReplyDelete-- Au --
unaweza kutumia "google analytic" and "conversion tracking software" yao (google wanat0a bure) kurahisisha mambo
-- AU --
Unaweza kutumia "php script" kuweza to track ip address
Ukisha maliza...
Weka tangazo kuuliza nani aliingia bloguni muda wa ushindi. Kwa wale watakao jibu (kwa kulinganisha ip address zao na ile iliyoshinda) utaweza kumjua mshindi.
Pia ni vizuri ku "track all headers of incoming messages" kuweza kujua "ip address" za waliyotuma
Tatizo la kutumia njia hii ni kwamba tuna (assume) kwamba unatumia mtandao mmoja (same ip)
Nilishawahi kubahatika kuwa visitor wa millioni moja enzi hizo, bofya HAPA. Nilichofanya kumhakikishia Michuzi kuwa nilikuwa mie, niliprint blog yake kama ilivyokuwa ikionekana muda huo. Nilienda File_Print_Adobe Acrobat. Adobe Acrobat ikaiconvert blog kuwa .PDF file. File hili nili li crop na kuliconvert into .jpg ili iwe picha ambayo Michuzi aliweza kuipost kwenye blog. Nilimtumia Michuzi kwa e-mail document zote hizi mbili. Kwa mdau atakayeshinda na akashindwakuconvert blog into a PDF file, basi aende File_Save as_ na achague Complete Webpage. Blog itakuwa saved na widgets zake zote ikiwa pamoja na counter ikionesha millioni 2. Kama njia hii ni ngumu, basi aprint kwa printer ya kawaida kwenye karatasi, then a scan picha na kumtumia Michuzi kama uthibitisho. Naomba kuwasilisha.
ReplyDeleteWATU WATASEMA MENGI SANA NA MICHUZI UNA IDEA NYINGI SANA ILA NAONA NJIA ALIYOTOA GERARD MISINZO NDIO SAHIHI ZAIDI.. HUWEZI KUMPATA KAIRAHISI MSHINDI KWA NJIA YA IP ADDRESS. SI RAHISI KWA SABABU WATU WENGI WAKO KWENYE PRIVATE NETWORKS NA WAKO NYUMA YA FIREWALLS,WANATUMIA PROXY SERVERS,N.K KWA HIYO KUNA WENGI KWA PAMOJA WANAWEZA KUWA WANASURF PAGE YAKO.
ReplyDeleteWENGINE ISP WAO WANAFANYA NETWORK ADDRESS TRANSLATION (NAT). HALAFU MICHUZI COUNTER YAKO HAISEMI MTU WA 2 MILLIONI ALIINGIA SAA NGAPI. INA MAANA UTAKAA UKIVIZIA TUU MUDA WOTE HATA AKIINGIA SAA TISA USIKU? KAMA SIO WANGA NINI HUO?
DAWA NI KWA MTU ATAYEINGIA KU-SAVE HIYO PAGE AT THAT TIME NA KUKUTUMIA MICHUZI HIVYO UTAIONA COUNTER PALE NA TIME ALIPOSAVE HIYO PAGE NA WEWE UTAFANANISHA NA UNACHOKIJUA.
-MZOZAJI
maneno mengi sana
ReplyDeleteila kwa Ip addres kweli hawezi kujua. Kuna wengine kama alivyosema hapo juu ni private NT, na pia kuna wengine wanacheck hii web kwa kutumia simu zenye WIFI huko mitaani kila block mmoja Ip address inachange hot spots kibao siku hizi.
Na kuprint kuna watu wanaweza kubadilisha kwa kutumia photoshop. Hiyo ya kwa ko ulivyofanya enzi hizo kulikua hamna zawadi lakini sasa hivi ki $ 500 kitawafanya watu wahehuke.
Kuna mtu alipendekeza uweke another temporary counter. Huko itakuonyesha mtu wa 2m alihit wakati small counter ilikua number fulani. Na huyo mshindi anatakiwa akumbuke hiyo temp counter pia na akipiga picha au akicopy screen itakua inaonekana. Na atakayejaribu kuforge hatajua temp counter ilikua ngapi.
Na wewe kama unaweza once inahit unaondoa hiyo small counter ili wenye akili wasije wakaanza kucompeare number halafu wa use photoshop kubadilisha
naomba kuwakilisha
kila shindano kama hili la bahati nasibu huwa na rules na regulations. kama hau fit ktk hizo basi automatic umeenguliwa.
ReplyDeletesio lazima kila mtu ku qualify, tumia IP address anyhow .
mnao tumia cafe mmeula wa chuya,...
ANONY Tarehe Wednesday, October 24, 2007 5:45:00 AM EAT, IS A LAYMAN ON THESE THINGS. ILA HATAKI KUELEWA! ISSUE YA IP ADDRESS POSSIBILITY YA KUMPATA MTU SIYE NI KUBWA!
ReplyDeleteMimi napendekeza utumie njia ya kitaalamu kidogo
ReplyDeletekatika server kuna kitu kinaitwa script.
Sasa mwambie huyo anayedeal na blog yako kwa upande wa kitaalamu akutengenezee script ambayo itadetect client computer ambayo imatumiwa na mtu wa milioni mbili automatically itatuma registration page kwa mtu huyo hapo hapo alipo kwenye hiyo computer.
Na huyo mtu atatakiwa kujaza iformation ambazo ninyi mnazani zitawasaidia kumpata au kumfikishia tuzo yake baada ya kujaza hizo information anasubmit na kazi inaishia hapo.
Stephen Kagaruki
B.Sc(H)Electronics final year
University Of Delhi
Mimi napendekeza utumie njia ya kitaalamu kidogo
ReplyDeletekatika server kuna kitu kinaitwa script.
Sasa mwambie huyo anayedeal na blog yako kwa upande wa kitaalamu akutengenezee script ambayo itadetect client computer ambayo imatumiwa na mtu wa milioni mbili automatically itatuma registration page kwa mtu huyo hapo hapo alipo kwenye hiyo computer.
Na huyo mtu atatakiwa kujaza iformation ambazo ninyi mnazani zitawasaidia kumpata au kumfikishia tuzo yake baada ya kujaza hizo information anasubmit na kazi inaishia hapo.
Stephen Kagaruki
B.Sc(H)Electronics final year
University Of Delhi