SIMBA IMEWAFUNGWA WATANI WAO WA JADI YANGA 1-0 KWA BAO MARIDADI LA WINGA ULIMBOKA MWAKINGWE AMBAPO BAADA YA MECHI IIBIDI FFU WAINGILIE KATI KUZUIA MASHABIKI WA JANGWANI WASIWABONDE WACHEZAJI WAO KWA KUWA WATEJA KWA WANA MSIMBAZI KWA MARA INGINE TENA LICHA YA KUTUMIA MILIONI 50 ZA MANJI KWA MAANDALIZI YA MECHI HII MOJA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. WATEJA WETUUUUUU, EEEE, WATEJA WETUUUUU , EEEE, NA BADO MTAZIDI KUWA WATEJA WETU. HONGERA CHAMA LAKE. BABU KUUUUUBWAAAAAA.
    Nu.

    ReplyDelete
  2. Kutushushaaaaa sisssssiiiii kaaazii ipoooo..wapeee salaaam zaooo Simbaaa kibokoo yaoooo....


    Kamojaaaa tuuu nimechokaaaa kuongooojaaaa..

    Chwaaaaap kinawatosha hicho kimoja tu..kama mnauwezo basi chomoeni...

    Respect Simba...

    ReplyDelete
  3. MICHUZI KUMBE HAKA KABWANA MDOGO
    ULIMBOKA BADO KIPO WAMO EEE.KINATISHA SANA.NAMKUMBUKA HUYU
    NA CHRISTOPHER ALEX MASSAWE WALIKUWA WANAFUNZI WA MSHINDO
    MSOLLA.YULE MTU BAB KUBWA
    WAPE TANO

    ReplyDelete
  4. huu kweli mwaka wa shetani kaka, maana liva nako tumelala.......

    ReplyDelete
  5. Yanga ni wapuuzi tu hata hakuna haja ya kusema watani wa jadi au big mechi kila siku ni kufungwa tu aina maana.najimuvuzisha zangu arsenal 7 nil

    ReplyDelete
  6. Walie wasiokuwa na timu za Ulaya zinazofanya vizuri, mimi kwa upande wangu nafurahia matokeo ya ManUTD. Mmhh! 4-2 na bado tunasubiri kula kitu kibichi cha Aseno kama kawaida yetu. Si unajua ManUTD kwa kuku za kienyeji ambazo hazijaguswa? Hakuna kuchomoa hapo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...