LEO WATANI WA JADI SIMBA NA YANGA WANAPAMBANA KATIKA MECHI YAO YA MZUNGUKO WA KWANZA LIGI KUU UWANJA WA JAMHURI HUKO MOROGORO. NDINGA LINAANZA DAKIKA YOYOTE TOKA SASA...REFA OTHMAN KAZI...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Mchezo huu unafanyika wakati mfadhili wa Yanga Bw. Manji ametoa Shs millioni 50 ili zitumike "kuimaliza" Simba na dk. ya 17 mchezaji tegemeo wa Simba na timu ya taifa katolewa kwa kadi nyekundu!!!!

    ReplyDelete
  2. KILA LA KHERI WEKUNDU WA MSIMBAZI. ''CHAMA KUBWA''AMINIA
    Nu.

    ReplyDelete
  3. Simba kila wakati lazima wavizie na kisha wasawazishe! Kwa kweli naifagilia Yanga!

    ReplyDelete
  4. Michuzi mbona kimmyaaa! pole sana maana naona mdebwedo leo ulimboka kawamaliza!

    ReplyDelete
  5. Michuzi,
    Is it true that Salome Mbatia amefariki?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...