Home
Unlabelled
somo la bendera
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tumetoka mbali sana. Nawauliza wadau "waliokula chumvi nyingi" je wananchi walishiriki kiasi gani kuamua bendera hii iwe na rangi hii na kadhalka haswa baada ya uhuru? Kuna "Hansard" yeyote?
ReplyDeleteMichuzi na wanakijiji wenzangu.
ReplyDeleteHapo ndo inafikia sehemu huwa namkubali na kumheshimu sana Mch.Mtikila kwa sera zake za Utanganyika.Mimi najua wazi kabisa Muungano wa Tanzania ni kati ya nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar.Lakini ajabu na kweli ni kuwa Zanzibar Bendera yao inazidi kupepea wakati ya Tanganyika imekufa kabisa.Naogopa kusema ni kama tumetawaliwa na wazanzibari vile.
Kinachonitia kinyaa zaidi ni kuona kuwa Watanzania Bara wegi hawaijui bendera ya nchi yao ya Tanganyika.Naamini kabisa kuwa wengi wa watoto waliozaliwa miaka ya 1970's na kuendelea hawaijui bendera ya Tanganyika.Michuzi nashukuru sana kunionyesha na kunikumbusha tena Bendera yetu ta Tanganyika iliyozikwa na kupotezwa kwa makusudi.Leo umezidi kuamsha ari yangu ya kudai UTANGANYIKA ULIOPOTEA.
Kitaeleweka tu.Jamani mnaona bendera yetu (Kwa sisi Wa-Tanganyika) ilivyokuwa nzuriiiiiiii????????
Majita
Not yet uhuru in Tanganyika!
ReplyDeleteuhuru wa kweli utapatikana pale tu tutakapowaondoa wala rushwa na mafisadi woote wanaojaza matumbo yao at the expense of poor Tanganyikans.
Mapinduzi yatakuja tu Tanzania, pengine sio leo wala kesho, ila yatatokea, tutakapowaondoa hawa mafisadi then tutasema kweli tuna uhuru na hata bendera tutabadilisha
Francis King
angalieni kwa makini msitudanganye wadanganyika,bendera ya mwaka 1961 haikuwa na marangi ya kijani namna hiyo,rangi ilikuwa bluu isiyokolea kwa pande zote za juu na chini kama ya mhishimiwa tree-killer.
ReplyDeleteKaka yangu asante kumbe tulikua na bendera kama hii huko mwanzo. Wala sijawahi kufundishwa.
ReplyDeleteAsante sana