

msanii vitali maembe a.k.a sumu ya teja anakaribia kutoa albamu yake ya pili kufuatia hii ya 'bagamoyo' ambamo kibao 'sumu ya teja' kimo. habari zake zaidi bofya hapa na hapa ama wasiliana naye kupitia vitalimm@yahoo.com utampata. hata kwenye myspace yumo na utampata ukibofya hapa huyu bwana ni msanii mwenye vipaji vingi ambaye ni mmoja wa matunda ya chuo cha sanaa bagamoyo. yeye pia ni mchiraji hodari sana


He is a true artist,sio hao wengine wanag'ang'ania kutukanana tu na kupiga makelele kwenye muziki.
ReplyDeleteKeep u the Good work bro! We admire you!!!!