una habari kwamba chuo cha ualimu chang'ombe sasa ni chuo kikuu cha waalimu?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. mithupu ehee!hivi ni vigezo gani vinavyofanya kila chuo tz ni chuo kikuu?kaeni mkao wa kula na mimi changu kinakuja.

    ReplyDelete
  2. asalaleee ndio panapendeza hivi?? kweli Bongo tunapiga hatua. Tena hawa jamaa ndio wako upenuni kabisa mwa lile wanja jipya la neshno inabidi wapajenge jenge hapo bwana paendane na jirani yao wanja la neshno

    ReplyDelete
  3. Jamani hiki chuo kwa kweli kinapendeza. Mambo ya hapo ni supa sana ukilinganisha na vyuo vingine. Hata mshahara wa hapa ni mnono kwa kweli. Wale mnaokula nondoz majuu pangeni kuja kufanya kazi hapop. UDSM wajiandae kwa kweli, umaarufu wake unatishiwa sasa. Sijui wana mikakati gani kulikabili hili wimbi la mifumuko ya vyuo vikuu. Naona sasa ni mwendo mdundo. Kudadeki

    ReplyDelete
  4. UDSM ya Mlimani hakuna kitu sasa hivi. Toka kidume Prof. Luhanga aondoke utawala umelega lega sana. VC wa sasa (Prof. Mkandala) amejaa porojo tu na stori za kitoto. Vyuo vishiriki wameanza kumkimbia. UCLAS sasa hivi sio Chuo Kishiriki tena, bali ni Chuo Kikuu kamili. MUCHS nao kama bado hawajajiengua basi nadhani wako njiani.

    ReplyDelete
  5. Kwa kweli UDSM pamelegea sana. Luhanga alianzisha mpango wa kukiua hala Mkandala anamalizia. Sasa hivi wafanyakazi wake wanalia maisha magumu huku vyuo vingine vikisherekea. Mathalani Chuo kile cha UDoM, walimu wake wanaishi kwenye nyumba zilizojenngwa kwaajili ya mawaziri. Usafiri kutoka nyumbani hadi chuoni. Marupurupu usiseme. UDSM mlimani imekuwa sawa na Sekondari ya private inayongoja ada za wanafunzi ndipo ilipe wafanya kazi wake mishahara. Mambo ya hapa, limebaki jina tu.
    Mkandala kwa kweli achunge saaaaaaaaaaana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...