bendi ya polisi ikiongoza maandamano kuahimisha kuanza kwa wiki ya wanyama duniani leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Wako wapi? Wa nyumbani au wa porini? Shuleni tulijifunza pia, kuwa ubepari ni unyama! ( CHEKA)

    ReplyDelete
  2. Siku hizi Brass Band hawana uniform?Hawapendezi kabisa

    ReplyDelete
  3. Jamani kweli sisi ni wa kuburuzwa tu. Nchi zilizoendelea masuala ya ustawi wa wanyama yamepiga hatua sana kutokana na wao kuwa na maendeleo makubwa. Lakini huku kwetu hata huo ustawi wa binadamu bado ni wa mashaka, eti hao na matarumbeta mitaani. Tusiige kila kitu jamani!? Au hii ni NGO ya mtu???

    ReplyDelete
  4. Wiki ya wanyama? Halafu tunasheherekea mjini? Kweli tunawaona hapo wanapita.

    ReplyDelete
  5. Duh! Hiyo brass band inapita town si foleni hiyo leo wajameni!! Kama mjamzito anawahishwa basi atajifungulia kwenye gari tu... mmmh!

    ReplyDelete
  6. Tumeanza lini huu utamaduni? badala ya kuandamana kutetea haki za beki tatus na shambaboys tunaotaabishwa na bosi zetu mnatetea wanyama ,wapi sasa dogis au ze batas? bongo kwa kuiga!

    ReplyDelete
  7. michuzi bwana, SIKU YA WANYAMA halafu hapo juu kidogo tu umeweka picha ya mchizi anakula paka mzima mzima?? tena hadharani polisi walikuwa wapi au hawakuona halafu wanapita na band kusherekea nini sasa? uvivu tu wakazi si waende kukamata majambazi

    ReplyDelete
  8. World Wildlife Fund walitoa posho kwa ajili ya hiyo maandamano.

    ReplyDelete
  9. ..hapo nikiangalia naona majaa rushwa tupu na kupiga wananchi bila sababu na kubambikizia kesi watu

    ReplyDelete
  10. Hee!!jamani mambo mengine yatupite hivi tunaelewa haki za wanyama kweli? hayo tuwaachie wazungu wanaolea mapaka na mambwa kama wato wao..sisi wanyama tunawatesa kama alivyo fanya "TOBOATOBOZZZ" si mmeona paka alivyofanyiwa unyama? kwa style hiyo sherehe ya wanyama ya nini?

    ReplyDelete
  11. Acheni kutembea barabarani nendeni mkamtafute yule jamaa mchawi anayeuwa mapaka.

    ReplyDelete
  12. ha ha ha haaaaaaaaaaaaa mie hoooooooooooi!
    eti wako wapi ao batasss na dogissssss hahahahaa
    kazi ipo!
    Ney-bham

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...