nadia kapendeza na vazi lipi katika haya?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 32 mpaka sasa

  1. Nadia Charles Bekon
    U Look Nice ma dia....

    ReplyDelete
  2. naona hilo lakwao ndio limempendeza zaidi yani hilo la kisomali

    ReplyDelete
  3. Nadia amependeza kwa vazi la kimasai.

    ReplyDelete
  4. Bwana Michuzi uwe unaanzaga kwa kutoa introdakshen kwanza.
    Usiashum kwamba watu wote tunamjua huyo Nadia ni nani.
    Kwani Nadia ndo nani?

    ReplyDelete
  5. I love this gal so much jamani, ana sura ya upole na tabasamu zuri sana! Nina hakika hata roho yake ni nzuri kama yeyey mwenyewe! Nifanyeje jamani, I am in love! sob sob sob!!

    ReplyDelete
  6. Nadia, you define the word beautiful!

    ReplyDelete
  7. Nadia hata avae gunia litamkaa tuu mashaallah mtoto hujapendeza na vazi lolote hapo umependeza mwenyewe kama ulivyo.

    ReplyDelete
  8. Vazi la hijab

    ReplyDelete
  9. mzuri sanaa jamani kama hanyi

    ReplyDelete
  10. Mbona kama msomali huyu!

    ReplyDelete
  11. better give us a full picture for recommendation if necessary.
    Thanks

    ReplyDelete
  12. Michuzi uwe unatuonyesha picha nzima sio pasipoti saizi tutajuwaje demu ni kilema,kiwete au ni mzima.

    ReplyDelete
  13. Jesus Christ kaka michuzi utafanya gangwemsemakweli aumie maana unatuma vitu sio mchezo haya! tena huyo mama wa wapi da!nitamwibuklia hata kwa ungo kaka.Kitu kiaina utadhani hakiendi choo kumbe labda tembo mtoto ila we acha utau gangwe kaka......

    ReplyDelete
  14. ...Will somebody give us an introduction, pleeaasee?? Si kila mtu anamfahamu Nadia, jamani....!

    ReplyDelete
  15. ma ashallah!mwanamke akivaa hijabu ananidatisha kabisaa!

    ReplyDelete
  16. Aaaaaahhhh michu
    mimi sikujua kwenye hii blog yako kuna watu wagonjwa wa akili kama huyu anon nov 19 7:25
    jamani umeniacha hoi loh !!!!

    ReplyDelete
  17. Nadia Mohammed (Nimo), ndiye alikuwa Miss Kinondoni 2006 na wazazi wake (Shekh) Kuamua kumtoa mashindanoni so hakushiriki Miss Tanzania kwa kukosa ruksa ya wazazi.
    Na huyo aliye andika Nadia Charles Bekon kamkosea Nadya na Mr Bekon Pia Michuzi itoe hiyo
    Jengine?

    ReplyDelete
  18. Wagonjwa wengi tu humu huyo anayesema kama ni kilema...kwani kilema hawezi kuwa mzuri...au akiwa kilema kwako ni mbaya...

    Hatumjui Nadia lakini ni mzuri jamani

    ReplyDelete
  19. Mzuri lakini hebu mwangalieni shingoni asijekua anorexia...

    ReplyDelete
  20. Uso wake una vishimo vishimo.
    Mwambieni aende SALUNI akapake MAGIC hivyo vishimo viondoke.
    We Zoom tu hizo picha utaona.

    ReplyDelete
  21. We Mchokozi huyu mototo mzuri na uchokozi wako. Twaambiwa kizuri hakikosi kasoro ila huyu ni mzuri ukimlinganisha na yule demu wako.

    ReplyDelete
  22. YANI NAMJUA NADYA PERSONALLY, SHE IS SO BEAUTIFULL INSIDE OUT. HATA ANGEENDA MISS WORLD ANGESHINDA

    ReplyDelete
  23. Anon wa november 20,2007 4:23:00 a.m.....PLEASE, PLEASE dear....nina tatizo la vishimo kwenye uso wangu....niende saloon gani dear.....na hiyo MAGIC ndo nini jamani.....PLEASE ASSIST.

    ReplyDelete
  24. wewe hapo juu uliyeomba msaada una mapele yenye vitobo usoni,hiyo ni lishe mbovu tuu unachotakiwa uwe unaoga vizuri na uache kujisiriba na lotion ambazo hazijapimwa,lakini nina wasi wasi kama unaweza kuacha lishe mbovu na lotion za viwango vya chini,hapo ndio tunaita vipele sugu,mwanangu mengine sio ugonjwa ni njaa tuu kaa wewe

    ReplyDelete
  25. lady in red bwana we!

    ReplyDelete
  26. Jamani, anakunya kweli huyu binti? Na akinya mavi yananuka??????

    ReplyDelete
  27. JE NANI MZURI KATI YA HUYU NADIA NA AYANA HASSAN? MSOMALI KWA MSOMALI..!! MICHUZI PLS TAFUTA PICHA YA AYAN HASSAN UTUEKEE WATU WAAMUE.!!!!

    ReplyDelete
  28. mimi nafikiri ayaan hasan amemzidi kidogo huyu na mimi ni msomali pia.

    ReplyDelete
  29. POPE MBONA UNAMTETEA SANA, NAJUA WE NDIYE ULITENGENEZA WEBSITE YA GIRAFFE ( www.giraffeoceanviewhotel.com ) NA HUYU DADA YUMO MULE AU KUNA NAMNA KAKA TUAMBIANE KIZURI KULA NA NDUGUYO NDUGUYO. ILA DEMU KASIMAMA

    MDAU M.S.SALLY TEXAS

    ReplyDelete
  30. MICHUZI SASA MBONA TUNA TUPANA! NILIKUOMBA UPOST PICHA YA AYANA HASSAN ILI NIONE NANI MZURI LAKINI BADO SIONI PICHA YAKE... IF YOU CAN GET A RECENT PICTURE OF HER.. JAMANI MSISHANGAE NAMAIND HUYO MTOTO KINOMA...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...