Home
Unlabelled
kivazi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nadia Charles Bekon
ReplyDeleteU Look Nice ma dia....
naona hilo lakwao ndio limempendeza zaidi yani hilo la kisomali
ReplyDeleteNadia amependeza kwa vazi la kimasai.
ReplyDeleteBwana Michuzi uwe unaanzaga kwa kutoa introdakshen kwanza.
ReplyDeleteUsiashum kwamba watu wote tunamjua huyo Nadia ni nani.
Kwani Nadia ndo nani?
I love this gal so much jamani, ana sura ya upole na tabasamu zuri sana! Nina hakika hata roho yake ni nzuri kama yeyey mwenyewe! Nifanyeje jamani, I am in love! sob sob sob!!
ReplyDeleteLady in red
ReplyDeleteNadia, you define the word beautiful!
ReplyDeletelady in red
ReplyDeleteNadia hata avae gunia litamkaa tuu mashaallah mtoto hujapendeza na vazi lolote hapo umependeza mwenyewe kama ulivyo.
ReplyDeleteVazi la hijab
ReplyDeletemzuri sanaa jamani kama hanyi
ReplyDeleteMbona kama msomali huyu!
ReplyDeletebetter give us a full picture for recommendation if necessary.
ReplyDeleteThanks
Michuzi uwe unatuonyesha picha nzima sio pasipoti saizi tutajuwaje demu ni kilema,kiwete au ni mzima.
ReplyDeleteJesus Christ kaka michuzi utafanya gangwemsemakweli aumie maana unatuma vitu sio mchezo haya! tena huyo mama wa wapi da!nitamwibuklia hata kwa ungo kaka.Kitu kiaina utadhani hakiendi choo kumbe labda tembo mtoto ila we acha utau gangwe kaka......
ReplyDelete...Will somebody give us an introduction, pleeaasee?? Si kila mtu anamfahamu Nadia, jamani....!
ReplyDeletema ashallah!mwanamke akivaa hijabu ananidatisha kabisaa!
ReplyDeleteAaaaaahhhh michu
ReplyDeletemimi sikujua kwenye hii blog yako kuna watu wagonjwa wa akili kama huyu anon nov 19 7:25
jamani umeniacha hoi loh !!!!
Nadia Mohammed (Nimo), ndiye alikuwa Miss Kinondoni 2006 na wazazi wake (Shekh) Kuamua kumtoa mashindanoni so hakushiriki Miss Tanzania kwa kukosa ruksa ya wazazi.
ReplyDeleteNa huyo aliye andika Nadia Charles Bekon kamkosea Nadya na Mr Bekon Pia Michuzi itoe hiyo
Jengine?
Wagonjwa wengi tu humu huyo anayesema kama ni kilema...kwani kilema hawezi kuwa mzuri...au akiwa kilema kwako ni mbaya...
ReplyDeleteHatumjui Nadia lakini ni mzuri jamani
Mzuri lakini hebu mwangalieni shingoni asijekua anorexia...
ReplyDeleteUso wake una vishimo vishimo.
ReplyDeleteMwambieni aende SALUNI akapake MAGIC hivyo vishimo viondoke.
We Zoom tu hizo picha utaona.
We Mchokozi huyu mototo mzuri na uchokozi wako. Twaambiwa kizuri hakikosi kasoro ila huyu ni mzuri ukimlinganisha na yule demu wako.
ReplyDeleteYANI NAMJUA NADYA PERSONALLY, SHE IS SO BEAUTIFULL INSIDE OUT. HATA ANGEENDA MISS WORLD ANGESHINDA
ReplyDeleteAnon wa november 20,2007 4:23:00 a.m.....PLEASE, PLEASE dear....nina tatizo la vishimo kwenye uso wangu....niende saloon gani dear.....na hiyo MAGIC ndo nini jamani.....PLEASE ASSIST.
ReplyDeletewewe hapo juu uliyeomba msaada una mapele yenye vitobo usoni,hiyo ni lishe mbovu tuu unachotakiwa uwe unaoga vizuri na uache kujisiriba na lotion ambazo hazijapimwa,lakini nina wasi wasi kama unaweza kuacha lishe mbovu na lotion za viwango vya chini,hapo ndio tunaita vipele sugu,mwanangu mengine sio ugonjwa ni njaa tuu kaa wewe
ReplyDeletelady in red bwana we!
ReplyDeleteJamani, anakunya kweli huyu binti? Na akinya mavi yananuka??????
ReplyDeleteJE NANI MZURI KATI YA HUYU NADIA NA AYANA HASSAN? MSOMALI KWA MSOMALI..!! MICHUZI PLS TAFUTA PICHA YA AYAN HASSAN UTUEKEE WATU WAAMUE.!!!!
ReplyDeletemimi nafikiri ayaan hasan amemzidi kidogo huyu na mimi ni msomali pia.
ReplyDeletePOPE MBONA UNAMTETEA SANA, NAJUA WE NDIYE ULITENGENEZA WEBSITE YA GIRAFFE ( www.giraffeoceanviewhotel.com ) NA HUYU DADA YUMO MULE AU KUNA NAMNA KAKA TUAMBIANE KIZURI KULA NA NDUGUYO NDUGUYO. ILA DEMU KASIMAMA
ReplyDeleteMDAU M.S.SALLY TEXAS
MICHUZI SASA MBONA TUNA TUPANA! NILIKUOMBA UPOST PICHA YA AYANA HASSAN ILI NIONE NANI MZURI LAKINI BADO SIONI PICHA YAKE... IF YOU CAN GET A RECENT PICTURE OF HER.. JAMANI MSISHANGAE NAMAIND HUYO MTOTO KINOMA...
ReplyDelete