
mama lydia mrutu ni mjasiriamali wa mapambo ya 'ongea na ukuta' na anasema nenda na wakati, achana na ununusi wa kadi za matukani kwa kutoa zawadi ya kudumu yenye ujumbe mahususi wa maandishi ndani ya fremu safi kama uonavyo pichani kwa harusi, besdei, ubarikio, valentine, vichekesho n.k. kwa kiingereza au kiswahili. chaguo ni lako. anasema tundika ukutani kisha ongea na ukuta, anza leo. mama lydia mrutu anapatikana kupitia lyrapabe@yahoo.com ama simu +255 754 465 039
Issa leo umeamua kuwapromote wabongo wenzetu? safi saaaana!!
ReplyDeletejamani nampa hongera kwa jasiliamali ila kidoogo ukuta wake kule nyuma yake unaonekana nao unahitaji maongezi naye kidogo
ReplyDeleteKaka michuzi inapendeza kuona unasaidia kutangaza kina mama zetu kama hivi maana tunakoelekea biashara ndogo kama hizi hazitatambulika tunamezwa kwenye dunia ya biashara haraka ,bongo inakimbia kishenzi lakini madhala yake tutaja yaona tukizeeka.Kwa kweli masela wangu wengi wanaogopa bongo isije ikawa kama south Africa vibaka kibao.Kila kukicha wanaua mbona kipindi cha mwinyi, mkapa ,nyerere haikuwa hivyo what is going on? haraka ya maendeleo iendane na sisi tulivyo.
ReplyDelete