Home
Unlabelled
rekodi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bongo bwana!! na yeye kavaa kama Richard...ti ti tiii
ReplyDeleteI know this guy, Adam! Mate gimme a shout llwmdee@yahoo.com. Allawi
ReplyDeletewatoto wadogo hao hata kazi bado hawajui huwezi kuwa kazini na camera huku umeshika chupa mkono mmoja ubishoo acheni nyie kazi kazi sio kuleta za kuja hapa waachieni wenyewe hizo kazi
ReplyDeleteHivi we anony, hapo juu una akili sawasawa..au zimeshakuruka kwa ajili ya maisha magumu!!! au ndo wivu nini? E bwn umependeza m2 angu ucwackilize wasio na hela ya kununua tshirt kali km hiyo.
ReplyDeletesunche utakuwa umelewa baada ya mafuriko ya mvinyo juzi yake!. maji yanasaidia sana...take care. Dan
ReplyDeletematatizo ya kutokuwa na exposure ndiyo haya mtu unadiriki kusema eti jamaa kavaa kama richard,hivi richard ndiyo nani kushinda bba imekuwa yeye ni superstar wa dunia nzima.wewe anony hujui kila staili ya vazi unalolivaa limetokana kuonekana kwenye show fulani ya mavazi?Kuku wa kienyeji mna matatizo sana.
ReplyDeleteMHESHIMIWA ISSA HABARI ZA LEO KAKA..NAONA MHESHIMIWA YUKO KAZINI..KAZI NA DAWA
ReplyDelete