matukio yote ya uzinduzi wa albamu, viwalo na tovuti vya ay vilirekodiwa na wataalamu waliobobea

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Bongo bwana!! na yeye kavaa kama Richard...ti ti tiii

    ReplyDelete
  2. I know this guy, Adam! Mate gimme a shout llwmdee@yahoo.com. Allawi

    ReplyDelete
  3. watoto wadogo hao hata kazi bado hawajui huwezi kuwa kazini na camera huku umeshika chupa mkono mmoja ubishoo acheni nyie kazi kazi sio kuleta za kuja hapa waachieni wenyewe hizo kazi

    ReplyDelete
  4. Hivi we anony, hapo juu una akili sawasawa..au zimeshakuruka kwa ajili ya maisha magumu!!! au ndo wivu nini? E bwn umependeza m2 angu ucwackilize wasio na hela ya kununua tshirt kali km hiyo.

    ReplyDelete
  5. sunche utakuwa umelewa baada ya mafuriko ya mvinyo juzi yake!. maji yanasaidia sana...take care. Dan

    ReplyDelete
  6. matatizo ya kutokuwa na exposure ndiyo haya mtu unadiriki kusema eti jamaa kavaa kama richard,hivi richard ndiyo nani kushinda bba imekuwa yeye ni superstar wa dunia nzima.wewe anony hujui kila staili ya vazi unalolivaa limetokana kuonekana kwenye show fulani ya mavazi?Kuku wa kienyeji mna matatizo sana.

    ReplyDelete
  7. MHESHIMIWA ISSA HABARI ZA LEO KAKA..NAONA MHESHIMIWA YUKO KAZINI..KAZI NA DAWA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...