nani anasema bongo sio tambarare??

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Duh! Michuzi hizo t-shirt za hawa jamaa zimenikosha roho kweli - unaweza kunitafutia zinauzwa wapi? Nimejaribu ku-Google lakini sikupata chochote cha maana.

    ReplyDelete
  2. sawa tambarare lakini inakuaje hakuna sehemu za watembea kwa miguu.Tambarare kwa gari kwa miguu vumbi tuuu.Traffic lights zilizopo ni machafu sana hata hayafutwi kama za wenzetu,taa za barabari hakuna ziko sehemu chache kwahiyo roba za mbao kibao kwa enda kwa miguu jioni.

    ReplyDelete
  3. Bongo tambarare kwa hayo maflana?Anyway,sio vibaya kujifariji baada ya kupigika na maisha....

    ReplyDelete
  4. Duu michuzi tuambie wapi zinapatikana hizi tshirt, yaani tukiwa huku ughaibuni kuvaa iliyoandikwa Tz safi sana

    ReplyDelete
  5. michuzi hizi ni tshert nzuri sana sasa nakuomba sana zinunue nyingi ziweke kwenye web yako ziuze on line tutanunua sana wadau wa huku majuu fanya hivyo maana isiwe ni web ya udaku tu angalau ikupatie michuzi naziuze kama $ 25 box zitznunuliwa sana huu ni ushauri ni nzuri sanaaaaaaaaaaaa asante ziweke huku na tutazinunua

    ReplyDelete
  6. Haya Michuzi changamkia tenda basi! Shusha mat-shirt wadau wafarijike. Hivi PayPal inafanya kazi Bongo?

    ReplyDelete
  7. michuzi kuacha utani hizi tshirt ni nzuri sana nakuhakikishia ukiziweka kwenye mtandao wako zitanunuliwa sana tunaomba uziweke basi sababu rangi zimepangilika vizuri.mdau USA.

    ReplyDelete
  8. [pole michuzi nimesahau hauna mashine ya credit card mbona nilipitiwa sas sijui utaziweka vipi?? ndugu yangu basi ziweke .humu halafu tuagizie pa kwenda kununua tutamtuma mtu atutumie

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...