Home
Unlabelled
tambarare
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duh! Michuzi hizo t-shirt za hawa jamaa zimenikosha roho kweli - unaweza kunitafutia zinauzwa wapi? Nimejaribu ku-Google lakini sikupata chochote cha maana.
ReplyDeletesawa tambarare lakini inakuaje hakuna sehemu za watembea kwa miguu.Tambarare kwa gari kwa miguu vumbi tuuu.Traffic lights zilizopo ni machafu sana hata hayafutwi kama za wenzetu,taa za barabari hakuna ziko sehemu chache kwahiyo roba za mbao kibao kwa enda kwa miguu jioni.
ReplyDeleteBongo tambarare kwa hayo maflana?Anyway,sio vibaya kujifariji baada ya kupigika na maisha....
ReplyDeleteDuu michuzi tuambie wapi zinapatikana hizi tshirt, yaani tukiwa huku ughaibuni kuvaa iliyoandikwa Tz safi sana
ReplyDeletemichuzi hizi ni tshert nzuri sana sasa nakuomba sana zinunue nyingi ziweke kwenye web yako ziuze on line tutanunua sana wadau wa huku majuu fanya hivyo maana isiwe ni web ya udaku tu angalau ikupatie michuzi naziuze kama $ 25 box zitznunuliwa sana huu ni ushauri ni nzuri sanaaaaaaaaaaaa asante ziweke huku na tutazinunua
ReplyDeleteHaya Michuzi changamkia tenda basi! Shusha mat-shirt wadau wafarijike. Hivi PayPal inafanya kazi Bongo?
ReplyDeletemichuzi kuacha utani hizi tshirt ni nzuri sana nakuhakikishia ukiziweka kwenye mtandao wako zitanunuliwa sana tunaomba uziweke basi sababu rangi zimepangilika vizuri.mdau USA.
ReplyDelete[pole michuzi nimesahau hauna mashine ya credit card mbona nilipitiwa sas sijui utaziweka vipi?? ndugu yangu basi ziweke .humu halafu tuagizie pa kwenda kununua tutamtuma mtu atutumie
ReplyDelete