sir juma nature (kati) akipongezwa na ay (kulia) na fid q (pili shoto) na wadau baada ya kunyakua tuzo ya video bora

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Nature nakufagilia.... choma utambi kaka, kipaji unacho! Nimefurahi sana kwa ushindi wako na kwa jinsi unavyoibeba nchi yetu.

    ReplyDelete
  2. Nimesikia Juma Nature alipangwa kutumbuiza Big Brother siku Richard anatangazwa mshindi ila kashkaji kalipiga sana tungi kakalewa chakari na kushindwa kupanda jukwaani.

    Nasikia MNET wamesema hawatamwalika tena Juma Nature kufanya shoo kwenye events za MNET.

    Michuzi hebu tuthibitishie hili

    ReplyDelete
  3. Nature mimi ninakukubali,na ninaamini unakubalika na wengi wanaoujua muziki,lakini tatizo wewe mwenyewe haujijui,ningependa ubadilike kutoka katika usela wa sana na uwe katika mtazamo unao kubalika,unasauti nzuri,nyimbo nzuri,lakini picha zako tunazoziona ktk mitandao,hazifanani na sifa ulizo nazo,badilika mzee,wewe unakubalika.Mdau wa sevensisters, London.

    ReplyDelete
  4. ma celebrity wakubwa sana wabongo haoo mungu ibariki tanzania na watu wake

    ReplyDelete
  5. Mh...halafu hiyo view huko nyuma...mbona back ground inatisha hivyo...staging ndugu zangu....wenzenu huku everything kwa stage...hawataki kupigwa pigwa picha tu public bila kujiandaaa au kuwa na mandhari mazuri...Ndio maana kila picha zinazoonekana watu wana wish hiyo life style lakini most of the time sio hivyo..kwa hiyo na nyie mkistage picha zenu tutapata wasaniii wengi...watoto wengi watajitahidi ili wawe na life style yenu lakini kwa picha hizi..mh......Huko nyuma ya picha sijui nguo zimeanikwa wapi huko na hilo banda sijui la kuku....

    Kweli hapo ndio mahali pazuri pa kupena pongezi??????

    ReplyDelete
  6. Juma nature im proud of what your doing and what you have archive so far, lakini unabidi upunguze usela, usela umekuzidi kiasi kwamba unakualibia image yako.Badilika nature wewe unakubalika bongo!!!

    ReplyDelete
  7. KAKA MICHUZI NINAKUPA JUKUMU LA KUMSHAURI NATURE ABADILIKE ACHE MAMBO YA KISHAMBA YA USELA ULIOPITA KIASI.HAWEZI KUPATA JINA KIMATAIFA KWANI WATAMWONA KAMA KIBAKA. WATAFUTE PICHA NZURI ZA KUONYESHA KWENYE NETI PICHA HIYO WAMECHEMKA SANA NA KUTOA MAANA NZIMA YA HIYO AWARD.HUYO NATURE KUTUONYESHA KIDOLE JUU ANAMANISHA NINI!!MWAMBIA ACHE UHUNI WA KIZAMANI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...