Home
Unlabelled
tuzo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nature nakufagilia.... choma utambi kaka, kipaji unacho! Nimefurahi sana kwa ushindi wako na kwa jinsi unavyoibeba nchi yetu.
ReplyDeleteNimesikia Juma Nature alipangwa kutumbuiza Big Brother siku Richard anatangazwa mshindi ila kashkaji kalipiga sana tungi kakalewa chakari na kushindwa kupanda jukwaani.
ReplyDeleteNasikia MNET wamesema hawatamwalika tena Juma Nature kufanya shoo kwenye events za MNET.
Michuzi hebu tuthibitishie hili
Nature mimi ninakukubali,na ninaamini unakubalika na wengi wanaoujua muziki,lakini tatizo wewe mwenyewe haujijui,ningependa ubadilike kutoka katika usela wa sana na uwe katika mtazamo unao kubalika,unasauti nzuri,nyimbo nzuri,lakini picha zako tunazoziona ktk mitandao,hazifanani na sifa ulizo nazo,badilika mzee,wewe unakubalika.Mdau wa sevensisters, London.
ReplyDeletema celebrity wakubwa sana wabongo haoo mungu ibariki tanzania na watu wake
ReplyDeleteMh...halafu hiyo view huko nyuma...mbona back ground inatisha hivyo...staging ndugu zangu....wenzenu huku everything kwa stage...hawataki kupigwa pigwa picha tu public bila kujiandaaa au kuwa na mandhari mazuri...Ndio maana kila picha zinazoonekana watu wana wish hiyo life style lakini most of the time sio hivyo..kwa hiyo na nyie mkistage picha zenu tutapata wasaniii wengi...watoto wengi watajitahidi ili wawe na life style yenu lakini kwa picha hizi..mh......Huko nyuma ya picha sijui nguo zimeanikwa wapi huko na hilo banda sijui la kuku....
ReplyDeleteKweli hapo ndio mahali pazuri pa kupena pongezi??????
Juma nature im proud of what your doing and what you have archive so far, lakini unabidi upunguze usela, usela umekuzidi kiasi kwamba unakualibia image yako.Badilika nature wewe unakubalika bongo!!!
ReplyDeleteKAKA MICHUZI NINAKUPA JUKUMU LA KUMSHAURI NATURE ABADILIKE ACHE MAMBO YA KISHAMBA YA USELA ULIOPITA KIASI.HAWEZI KUPATA JINA KIMATAIFA KWANI WATAMWONA KAMA KIBAKA. WATAFUTE PICHA NZURI ZA KUONYESHA KWENYE NETI PICHA HIYO WAMECHEMKA SANA NA KUTOA MAANA NZIMA YA HIYO AWARD.HUYO NATURE KUTUONYESHA KIDOLE JUU ANAMANISHA NINI!!MWAMBIA ACHE UHUNI WA KIZAMANI.
ReplyDelete