Home
Unlabelled
mssika afanya kweli kagera
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
bongo kweli tambarare
ReplyDeletehaha ahaha huu ndio ushahidi wa kusambaratisha majambazi,sitashangaa kama huyo ng'ombe wao ndio walimla...kazi kweli kweli!
ReplyDeleteNami nimekubali kuwa kweli Bongo New York.
ReplyDeleteMdau, VA
lakini hao kweli wanapambana na majambazi...???au ni hao hao majambazi...!!!'poacher turned gamekeeper and vice versa'
ReplyDeleteWabongo kweli bado sana! Sasa polisi kutuonyesha masalia ya ng'ombe ndiyo ushindi? Wakowapi majambazi? Eti wamewatawanya? Do we really need to hear this kind of story while these people (majambazi) continue to run the show?
ReplyDeleteDon't be surprised hawajamaa "waliotawanywa" wala siyo majambazi, ni watu tu waliokuwa katika picnic wanakula berbeque yao!