Home
Unlabelled
salamu toka movenpick
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi.
ReplyDeleteMdau wako akupa salamu za XMASS na Mwaka mpya, naomba uposti hii Joke..
Husband: (Returning late from work)
"Good evening dear, I'm now logged in."
Wife: Have you brought the grocery?
Husband: Bad command or filename
Wife: But I told you in the morning.
Husband: Erroneous syntax. Abort?
Wife: What about my new TV?
Husband: Variable not found...
Wife: At least, give me your Credit Card, I want to do
some shopping.
Husband: Sharing Violation. Access denied...
Wife: Do you love me or do you only love computers, or
are you just being funny?
Husband: Too many parameters...
Wife: It was a great mistake that I married an idiot
like you.
Husband: Data type mismatch.
Wife: You are a useless.
Husband: It's by Default.
Wife: What about your salary?
Husband: File in use... Try after some time.
Wife: What is my value in the family?
Husband: Unknown Virus.
By Mchangiaji.
Wabeba Boksi hii haihusiani na picha ila naomba mcheki . (http://wabebaboksi.blogspot.com)
ReplyDeletembebaboksi
wew na blog yako hiyo sijui wabeba mabox...That is just wastage of time...Huna haja ya kumwonyesha mtu what you do...fanya vitu vyako vionekane sio picha tu ...Kazi ni kazi bora mkono uingie kinywani....Wew unaweza unafanya kazi ya Officini lakini maendeleo yako ni madogo kuliko huyo anayefanya manual labour.....Maisha ni mpangilio ndugu yangu...
ReplyDeleteSioni sababu ya hiyo blog yako real ni ya kitoto na sio watu wenye akili zao wanye waweke maisha yao huko ili kuonyesha watu wanaoishi bongo.
Grow up haya mambo ya wala vumbi na wabeba mabox ni just a joke sasa wewe kama unachukulia serious you real need a life.
Merry Christmas

Nasikia kakakola hapo sawa na mshahara wa mwezi mzima!!!
ReplyDeletemuvenipiki leo mmejileta wenyewe kwenye anga zangu sasa ngoja niwape vipande vyenu.hivi lini mtaacha ubaguzi kwenye hoteli yanu?iweje hamtaki so called 'watu wa nje'(mkimaanisha sisi wakalamba) tusiogelee kwenye li swimming pool lenu.kwani tunaogelea bure si tunalipa?au mnafikiri tutawaibia wateja wenu?mbona wazungu ambao si wakazi hotelini mnawaruhusu?acheni hizo,hapa ni bongo sio sauzi ya botha na verwood!
ReplyDeleteWala watu wanapaogopa bure tu! Unaweza kwenda kupata mlo wa christmas hapo. Ila Buffet ni expensive kama kawaida yake lakini sio expensive saana.
ReplyDeleteSie huenda hapo kwa quick lunch (pasta, sandwich na burger) nayo wala sio bei ya kuogofya. Inategemea na mshahara wako ila bei ya soda ni sawa na hotel nyingine za kitalii. Mara moja kwa mwaka haigombi. Ila wabongo hatuna utamaduni wa kupata dinner nje ya nyumba kabisa, out zetu ni dansi na disco. Ingekuwa Bondeni kila siku pangekuwa panajaa watu kwa dinner.