Home
Unlabelled
solo na manyamanyama
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
yamiii bro michu, sasa hayo ndo mapochopochozz, sio mtu kala wali wa nazi, na maharagwe ya nazi yalotiwa thomu na bizari, anajitapa ninkula mapochopocho, wapiiii hizo ndo pochozzzz yenyewe shuruti mkono utembee ka mara saba hapo weweeee, ila mpishi hapo kasahau kuweka chuzi la akdi kama ni harusi kweli kwenye bakuli kuuuubwa katikati ili kuhitimisha hilo soro la manyamanyama.Mh! ila michu nimekustukia hayo sio makombo ya ftari ya subhi ya idd-el-hajj?
ReplyDeleteHili uswahilini tunaita draft, yaani lazima mkono utembee kona zote mpaka unaingia King, pia unaweza kula double au triple, unakula ukiona kama umeshiba unaamka kisha unarukaruka chakula kikae vizuri kisha unaanza tena weee!
ReplyDelete