
kaka Michu mwimbo WA Cinderella unapigwa sana hapa Holland katika Funx fm ambayo in fm inayoongoza kwa kupiga nyimbo R&B,Rap ,Reggae n.k inayorusha matangazo yake kutoka mji WA Rotterdam na Eindhoven. Na unaelekea kupendwa .kama kidachi richebo bofya hapa www.funx.fm ,au www.funx.nl wanajaribu kuelezea mvutano kati ya kibaz na Malaika Kamagusha.
Well Gud laki Kiba..
mdau Holland
kaka Michuzi mbona habari za Ali Kiba halafu picha ya mzee wa Bembeleza?
ReplyDeleteTesa mwanangu kiba.
ReplyDeleteHONGERA KIBA! LAKINI MIMI NDIO MDAU WA MILIONI 3
ReplyDeleteASANTENI...
poelmart5@yahoo.com
Kweli wabongo hasa 'boxis pple' hamtakuja kuendelea kabisa, habari njema kama hii kijana wetu sauti yake inapasua anga huko nchi za mbali hakuna watu wanaotoa comments za kumpongeza au kumpa ushauri, wanasubiri tu Michu apost kitu kilichokaa kushoto kushoto waanze kukandia
ReplyDeleteNoma sana nyie dubyaz
Michuzi ujanja wako wote kumbe hata wanamuziki huwajui, unatuekea picha ya Malow then unaleta stori ya ALI KIBA.OK lakini Big Up! KIBA tunakuaminia we ndo mchizi weeeetu!
ReplyDeleteKaka Michu umechoka. Mbona huyu Ritaaa. huyu mkali wangu. unique voice, I like him.
ReplyDelete@ 1:30 pm acha unafiki mbona wewe hujampongeza. Ndio wewe mkaanga buyu umekosa la kusema unatafuta maneno.
ReplyDeleteMashallah amejaliwa. Sio wengine wanaopata namna hiyo. Mungu amzidishie kipaji chak ekiendeleeeeee.
ReplyDeleteKweli hiyo picha hata mi nilidhani macho yana makengeza ingawa siko tz simjui vizuri namwona kwenye video's anyways michuzi apologize halafu weka correct pic.
ReplyDeleteBack to the point Dogo namkubali anafanya vizuri sana, hardwork inajidhihirisha. keep on pushing kiba!
I want this Kid y'all.... he just too damn sexy shoooooooooot!!
ReplyDelete