Home
Unlabelled
bunge fc
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bwana michuzi naomba niulize labda mi ndio naweza kuwa sijui vizuri swahili. Katika kauli ya kusema timu ya Bunge ilibugia goli moja sijui hii ni sahihi kwani kwa mfahamu wangu neno "BUGIA" ni kula au kumeza kitu zaidi ya kimoja sasa kwa kauli yako hiyo uoni kama kuna makosa? na kama ni sahihi ukiwa kama mwana blog huoni makosa kama haya yakiwa yanaendeleo si tutakuwa tukipotosha usahihi wa lugha yetu hii ya kiswahili? Ahsante ni mimi mdau nipo hapa UKEREWE
ReplyDeletehivi wewe mdau mbeba mabox auoni hata wewe ujui kiswahili KWAMBA YAKIWA YANAENDELEO AU YAKIWA YANAENDELEA,fara tu kabebe box huko
ReplyDeleteshehe adam nakuona ndugu yangu, mie namaliza maliza hapa madrid inshaalah will be in dar on 17th usiku...
ReplyDeleteshehe adam sijui kacheza zote 90 au 45 afu katoka nje , brother Jeff ongeza ujuzi tunataka mkirudi mkafungue Singida Airport
ReplyDeleteyaani kuachia kocha mpaka wachezaji sura zinaonekana pombe tupu na supu,na wameshachoka wanataka muda uishe inaonekana maana kuwarudisha uwanjani ni kuwaua tuu
ReplyDelete