Ndugu Michuzi,
katika kuchambua chambua kwangu mtandaoni kwa bahati mbaya au nzuri nilidondokea katika mtandao wa www.kongoi.com nikawakuta wazee kongoi huko Oslo,Norway, wamemweka javini mwanamziki nyota mwimbaji na kiongozi wa The Ngoma Africa band, Bwana Ebrahim Makunja aka Ras Makunja. huyu nyota alipewa kibano cha maswali juu ya kwa nini mziki wa dansi ulichelewa kufika katika masoko na majukwaa ya kimataifa, na maswali mengi mengine, ambapo wazee wa kongoi walitaka piga ua lazima wapate majibutena yenye kuwalidhisha wazee wa baraza waliokuwa JAMVINI
Pasitoshe baadhi ya maswali ilikuwa ni kama kumuhadhibu nyota huyo kwa kumbebesha msalaba kwa niaba ya wanamziki wenziwe wa mtindo wa dansi!
Lakini Ras Makunja alikuwa hana ujanja ila ni kutoa majibu tuu
Wazee hao wa kongoi huko Norway walitaka kujua kwa nini bendi kama msondo hawaji Ulaya? majibu soma www.kongoi.com
Siwezi kusema kuwa Ras makunja alionewa kubamizwa maswali haya! ah! mwanamziki huyu ana sifa za malumbano ya kimataifa na haiwezekani aulizwe maswali ya kitoto ila huu mzigo wa mswali ni SIZE YAKE

Hii!!!te!!te!teh!!!!
ReplyDeleteMahojiano babu kubwa labda tuseme ni wito kwa kila mtanzania,naona
hapa ras makunja kahamua kutema cheche za moto!uwoga ndio unaofanya
mziki wa tanzania kutofikia masoko ya kimataifa
kweli kichaa wetu ras makunja
kaza buti
ndiyo mchokozi wetu Ras Makunja!!!
ReplyDeletePasua!Pasua! wamekuwita wenyewe javini !huo ni ukweli!Lakini kaka nawewe umezidi kuporomosha mawe!
punguza kidogo
Pasua!Pasua!Ras Makunja
ReplyDeleteheti badala ya kukupa zawadi ya mwaka mpya wanakuweka kiti moto!
Hivi?wanategemea nini?kutoka mdomoni mwa Bwana Kichwa ngumu,pasua wameyataka wenyewe
Chizi!kaokota rungu halafu kakimbilia sokoni mnategemea nini?
ReplyDeleteni mawe!tu na kushambulia hizo
ndizo zake
Jamaa huyu mimi namzimia sana sana
ReplyDeletekwa ushujaa wake wakuutangaza mziki wa bongo na kufanikiwa kimataifa,sio kazi ndogo hata kidogo,tena bila ya support ya nyumbani!kaza buti.