Home
Unlabelled
lala salama ya tik...tok...tik...tok....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bro Michuzi, Please remind me again what should i do to win or rather to participate
ReplyDeleteSidhani kama Babali atarudi. Hii miezi sita ya uchunguzi iliyotolewa ukiunganisha na muda aliokaa ng'ambo.
ReplyDeleteNadhani ni zaidi ya mwaka na hii ni kumwezesha jamaa atafute "kichaka" kinachofaa kujificha. Na pia naungana na msemaji aliyepita kuhusu uteuzi wa mwenyekiti wa bodi na kuwapo kwa Mgonja katika hiyo bodi hao jamaa lao moja. Megji pia hawezi kukwepa lawama hii.
Kwa kusema alikuwa hajui nini kinaendelea "ignorance of the law has no defence" nadhani wale waliobobea kwenye masuala ya sheria wanaweza kutoa ufafanuzi zaidi. Lakini huwezi kupanda mahindi ukategemea kuvuna kahawa. Ukipanda uovu uatavuna ... Haya... ngoja tuone. Mfurukutwa.(UK)
jamani sielewi kinachoendelea hapo juu(hizo numbers).Huu mchezo wachezwaje?
ReplyDelete