NAWATAKIA HERI NA FANAKA YA MWAKA MPYA WA 2008 WADAU WOOOOOOOTE WA GLOBU HII YA JAMII. UJUMBE: NA TUENDELEZE LIBENEKE.....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. ...Ndo maana yake!libeneke lazima liendelezwe!HERI YA MWAKA MPYA WADAU WOTE!

    ReplyDelete
  2. Tunashukuru sana kwa salaam za mwaka mpya...na sisi tunakuombea baraka tele na maisha marefu ili uendeleze libeneke na globu yetu izidi kukuwa na iendelee kutuelimisha zaidi na zaidi kwa njia ya picha...Mungu akubariki na akupe maisha marefu wewe, familia yako, ukoo wako na hata Timu yako ya bwawa la maini izidi kufanya vizuri!
    Kuna mdau kaniambia kilichobadilika asubuhi hii ni tarakimu ya mwisho ya mwaka lakini kila kitu kiko vilevile..anasema ameamka akaona hakuna cha ajabu!Yeye ni yuleyule...Bongo ni ile ile..Watu ni walewale... sijui ni kweli?

    ReplyDelete
  3. Kwa kweli nadhani mwaka huu uounguze kubana ujumbe wa watu. Wewe ukiona ujumbe una mantiki, tuachie sisi tuujadili. Na usiujadili wewe na kuuamulia haki! Naamini ni njia mojawapo ya kuboresha blog

    ReplyDelete
  4. Yaan kwa kweli ni swala ambao inabidi watanzania wote tukae chini na kumshukuru sana mungu kwa kumaliza mwaka vizuri na kuomba pia kwa ajili ya mwaka 2008.wenzetu wakenya hali inazidi kuwa mbaya sana watu zaidi ya 150 wameshakufa.Mungu ibariki Tanzania.Mungu Ibariki Africa.Happy new year to you all.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...