WADAU KUNRADHI. KWA HISANI YENU NAOMBA MNIRUHUSU NIHITIMISHE KUTUMWA KWA SALAMU ZA MWAKA MPYA KWA UJUMBE HUO HAPO CHINI KUTOKA KWA MDAU JOSHUA AMBAYE ATAWAKILISHA WOTE WENYE NIA YA KUSALIMIA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI KUPITIA HUMU. NAWASHUKURU WOTE WALIOTUMA SALAMU NA AMBAO WALITAKA KUFANYA HIVYO. KESHO NI SIKU MPYA HIVYO NA TUENDELEZE LIBENEKE KAMA ILIVYO KILA SIKU.
HEPI NYU YIA KWENU WADAU WOTE WA GLOBU HII YA JAMII NA ASANTENI SANA KWA KAMPANI YENU MUDA WOTE ULIOPITA, TULIONAO NA UJAO
MUHIDIN ISSA MICHUZI
Mimi ni mmoja kati ya wafuatiliji wazuri wa blog hii ya watanzania.Namshukuru Mungu kwanza kwa kukupa maono ya kuanzisha na kuiendeleza blog hii,nashukuru kwa kuwa umekuwa uki tukutanisha wabongo wote pamoja bila ya kujali wapi tulipo, God Bless You So Much Brother.
Mwisho Nawatakia watanzania wote popote pale walipo kila la kheri katika kuuanza mwaka huu wa 2008 kwa mafanikio makubwa, tuna kila sababu ya kumshukuru Maanani. Zaidi tuendelee kumuomba atujaalie Afya njema, Moyo wa Upendo, Umoja na Amani zaidi.
Pia awajaalie wale wote walio nje ya nchi hii kuishi kwa Amani huko walipo na pia wasisahau kurudi Nyumbani kuja tushirikiane kujenga Tanzania yenye mafanikio Kiuchumi na Amani. PAMOJA TUNAWEZA NB: Tuombe Mungu awasaidie Wa Kenya, amani irudi.
Pamoja na Ujumbe huu, nimeambatanisha salaam hizi za mwaka mpya katika lugha tofauti Duniani.
Afgani, Saale Nao Mubbarak
Afrikaans, Gelukkige nuwe jaar
Albanian, Gezuar Vitin e Ri
Armenian, Snorhavor Nor Tari
Arabic, Antum salimoun
Assyrian, Sheta Brikhta
Azeri, Yeni Iliniz Mubarek!
Bengali, Shuvo Nabo Barsho
Bulgarian, ×åñòèòà Íîâà Ãîäèíà(pronounced "Chestita Nova Godina")Cambodian, Soursdey Chhnam Tmei
Catalan, FELIÇ ANY NOU
Chinese, Xin Nian Kuai Le
Corsican Language, Pace e Salute
Croatian, Sretna Nova godina!
Cymraeg (Welsh), Blwyddyn Newydd
DdaDenish, Godt NytårDhivehi
Ufaaveri, Aa Aharakah Edhen
Dutch, GELUKKIG NIEUWJAAR!
Eskimo, Kiortame pivdluaritlo
Esperanto, Felican Novan Jaron
Estonians , Head uut aastat!
Ethiopian: MELKAM ADDIS AMET YIHUNELIWO!
Finnish, Onnellista Uutta
VuottaFrench, Bonne AnneeGaelic,
Bliadhna mhath urGalician [ NorthWestern Spain ], Bo Nadal e Feliz Aninovo
German, Prosit Neujahr
Greek, Kenourios Chronos
Gujarati, Nutan Varshbhinandan
Hawaiian, Hauoli Makahiki Hou
Hebrew, L'Shannah Tovah
Hindi Naye, Varsha Ki Shubhkamanyen
Hong kong (Cantonese), Sun Leen Fai Lok
Hungarian, Boldog Ooy Ayvet
Indonesian, Selamat Tahun Baru
Iranian, Saleh now mobarak
Iraqi, Sanah Jadidah
Irish, Bliain nua fe mhaise dhuit
Italian: Felice anno nuovo
Japan: Akimashite Omedetto Gozaimasu
Kabyle: Asegwas Amegaz
Kannada: Hosa Varushadha Shubhashayagalu
Kisii: SOMWAKA OMOYIA OMUYA
Khmer: Sua Sdei tfnam tmei
Korea: Saehae Bock Mani ba deu sei yo!
Kurdish: NEWROZ PIROZBE
Latvian, Laimigo Jauno Gadu!
Lithuanian: Laimingu Naujuju Metu
Laotian: Sabai dee pee mai
Macedonian, Srekjna Nova Godina
Madagascar, Tratry ny taona
Malay, Selamat Tahun Baru
Marathi : Nveen Varshachy Shubhechcha
Malayalam : Puthuvatsara Aashamsakal
Maltese, Is-Sena t- Tajba
Nepal, Nawa Barsha ko Shuvakamana
Norwegian, Godt Nyttår
Papua New Guinea, Nupela yia i go long yu
Pampango (Philippines), Masaganang Bayung Banua
Pashto Nawai, Kall Mo Mubarak Shah
Persian, Saleh now ra tabrik migouyam
Philippines, Manigong Bagong Taon
Polish: Szczesliwego Nowego Roku
Portuguese: Feliz Ano Novo
Punjabi: Nave sal di mubarak
Romanian: AN NOU FERICIT
Russian: S Novim Godom
Samoa: Manuia le Tausaga Fou
Serbo-Croatian: Sretna nova godina
Sindhi: Nayou Saal Mubbarak Hoje
Singhalese: Subha Aluth Awrudhak Vewa
Siraiki Nawan: Saal Shala Mubarak Theevay
Slovak: Stastny Novy rok
Slovenian: Sreèno novo leto
Somali: Iyo Sanad Cusub Oo Fiican!
Spanish: Feliz Ano ~Nuevo
Swahili: Heri Za Mwaka Mpya
ºSwedish: GOTT NYTT ÅR! /Gott nytt år!
Sudanese: Warsa Enggal
Tamil: Eniya Puthandu Nalvazhthukkal
Telegu: Noothana samvatsara shubhakankshalu
Thai: Sawadee Pee Mai
Turkish: Yeni Yiliniz Kutlu Olsun
Ukrainian: Shchastlyvoho Novoho Roku
Urdu: Naya Saal Mubbarak Ho
Uzbek: Yangi Yil Bilan
Vietnamese: Chuc Mung Tan Nien
Welsh : Blwyddyn Newydd Dda!
"God Bless You
"Joshua Mbwile (BIG)
1st Jan'2008

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. wewe joshua umetu"diss" WAHAYA,mbona ukuweka salam kwa kihaya

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...