

MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ngonya alikuwa mwanaume wa shoka lakini kwa hali ilivyokuwa wakati huo na kwa kuangalia historia ya Simba asingeweza kufua dafu.historically Simba ni timu ya watu wa rangi...........
ReplyDeleteNauliza tu jamani..., Eti hakuna spell check ukiandika Kiswahili? Ni swali tu wajame......
ReplyDeleteMpeli upo wapi siku hizi? Huyu jamaa alikuwa anakaa kitega uchumi enzi hizo
ReplyDeletengonya amefungiwa maisha kuwa kiongozi wa soka. Alifanya nini?
ReplyDeleteSimba kulikuwa na Ngonya huku Yanga kuna mtu mwingine alikuwa anaitwa BANDAWE sijui hawa jamaa wapo wapi. Wote wamfungiwa maisha kujihusisha na maswala ya soka bongo au FIFA? mwenye kumbu kumbu atujulishe
ReplyDeletewatu kama hawa walikuwa hawana vision yeyote katika soka na walisaidia sana kuua soka TZ na bora walifungiwa na walikuwa wababe tuu wasio akili yeyote ya soka zaidi ya kupika migogoro,na hii sampuli bado ndio viongozi wengi wa Afrika serikali na tunahitaji kusafisha akili kama hizi ili twende mbele
ReplyDeleterafiki yangu Juma Ngondae alikuwa ni mtangazaji mahiri wa taarifa za habari kutoka radio Tanzania Dar-es-Salaam enzi hizo,sijui wangapi pia mnamkumbuka Abdul Masudi sasa marehemu
ReplyDeleteTaarifa za Jamaa kama hawa ilifaa tuzikute kwa kina Tenga (TFF).
ReplyDeletesasa kama hawana wanafanya nini pale??
Si wale kona tu!!
Marehemu Juma Ngondae(RIP)nimeishi nae pale M/nyamala Komakoma huyu ni Simba damu damu.
ReplyDeletempeli ngonya yupo dar mzururaji alifikiri hela za baba zipo milele sasa ameona!!!!!alikuwa na dada wabaya kichwani hamna kitu ukoo mzima ubishoo tuu na wangekuwa warefu tungekoma
ReplyDeletewe anony hapo juu hujui mpeli kaolewa ilala hayupo tena kitega uchumi walifukuzwa.....
ReplyDeletethe tragedy ilikuwa wachezaji wa simba enzi hiyo walikuwa hawamtaki ngonya, huyo jamaa aliyekaa kulia kwake ni kimwaga, mkubwa wa magereza enzi hizo, kama m.t. mangara alikuwa mwenyekiti wa simba unadhani hawa jamaa wakiiba serikali ilikuwa kama vile inawaogopa. kimwaga na mangara walikuwa majambazi wakubwa, enzi ya miaka ya 60-70 mpira ulikuwa una pesa sana lakini wachezaji hawakufaidika cho chote, walikuwa wanacheza mpira halafu asubuhi wanaenda kazini, sasa mpira utaendeleaji hivyo? sunday,kassim manga,maulidi dilunga, wote leo masikini. aibu kabisa!!!
ReplyDelete