hakika jinzi likipata mvaaji hupendeza...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. mmh kweli jeans imeamkaa sana, na hiyo rangi yake ya ngozi nimeipenda,baabu kubwa,,huyu lazima atakuwa point five (0.5) au half caste/ mtoto wa rangi/ mzungu wa kuchovya/Vanillachocolat...mana rangi zao ndo zinakuwaga kama hivi, zinaita ile mbaya na wengi wao, wanakuwaga BOMBA SANA.

    ReplyDelete
  2. Mhh, kwa kweli kavaa vema sana na shape ya nguvu hasa! Kanapendeza sana, ungetupa picha yote tufurahie....!

    ReplyDelete
  3. Huyu ni K-lyne huyu kaka....kapendeza

    ReplyDelete
  4. YAH THIS IS KLYN HATA ME NIMEGUNDUA NICE SHAPE WOW IMEMKA KWELIKWELI

    ReplyDelete
  5. Jinzi inaenda na viatu bwana..

    ReplyDelete
  6. huyu kama mwanangu Mariam vile!na kama si yeye basi watu wanafanana shepu.

    ReplyDelete
  7. zisingekuwa nyayo, Nisingejua amegeukia wapi!!

    ReplyDelete
  8. sasa hapo mbele au nyuma?

    ReplyDelete
  9. Yaap ..kweli hapo K-lyinn umependeza sana...big up

    ReplyDelete
  10. Mh kaka michu huyo dada hilo jinzi limemkaa kwelikweli.... Ila msaada kwenye tuta... sasa nauliza hii picha hapa ni mbele au ni nyuma??

    ReplyDelete
  11. MHHH MHHYH MHHHH WENZANGU HIYO NI MBELE AMA NYUMA MAANA YAKE KHAAA. I CAN NOT TELL!!!!!!!

    ReplyDelete
  12. jamani nyie watu hamuoni mifuko na zipu hiyo lol lakini amependeza mwenyewe

    ReplyDelete
  13. This is good for me to see napenda sana za staili hii yaani vidude kwa pembeniiii

    ReplyDelete
  14. Mwanawani,Mbona unatukumbusha mambo ya KRISS-KROSS tena!!

    ReplyDelete
  15. Kaka yangu culture inabadilisha macho. Mimi nimeona vipisto hivyooooo.. Jeans ikikua haina vipisto pembeni lakini kwa bongo hapo burudani kabisa .... ila huku nilipo nshazoea kuona jeans inakukaa vizuri hivi....http://shinymedia.headshift.com/images/jeansboots2.jpg

    Sio na vipisto pembeni ....

    ReplyDelete
  16. Hii fesheni ilikuwepo miaka ya 80. Tulikuwa tunaita TINABUU!

    ReplyDelete
  17. Na ilikua miaka ya tisini siye tulita don't touch

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...