Home
Unlabelled
jinzi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mmh kweli jeans imeamkaa sana, na hiyo rangi yake ya ngozi nimeipenda,baabu kubwa,,huyu lazima atakuwa point five (0.5) au half caste/ mtoto wa rangi/ mzungu wa kuchovya/Vanillachocolat...mana rangi zao ndo zinakuwaga kama hivi, zinaita ile mbaya na wengi wao, wanakuwaga BOMBA SANA.
ReplyDeleteMhh, kwa kweli kavaa vema sana na shape ya nguvu hasa! Kanapendeza sana, ungetupa picha yote tufurahie....!
ReplyDeleteHuyu ni K-lyne huyu kaka....kapendeza
ReplyDeleteYAH THIS IS KLYN HATA ME NIMEGUNDUA NICE SHAPE WOW IMEMKA KWELIKWELI
ReplyDeleteJinzi inaenda na viatu bwana..
ReplyDeletehuyu kama mwanangu Mariam vile!na kama si yeye basi watu wanafanana shepu.
ReplyDeletezisingekuwa nyayo, Nisingejua amegeukia wapi!!
ReplyDeletesasa hapo mbele au nyuma?
ReplyDeleteYaap ..kweli hapo K-lyinn umependeza sana...big up
ReplyDeleteMh kaka michu huyo dada hilo jinzi limemkaa kwelikweli.... Ila msaada kwenye tuta... sasa nauliza hii picha hapa ni mbele au ni nyuma??
ReplyDeleteMHHH MHHYH MHHHH WENZANGU HIYO NI MBELE AMA NYUMA MAANA YAKE KHAAA. I CAN NOT TELL!!!!!!!
ReplyDeletejamani nyie watu hamuoni mifuko na zipu hiyo lol lakini amependeza mwenyewe
ReplyDeleteThis is good for me to see napenda sana za staili hii yaani vidude kwa pembeniiii
ReplyDeleteMwanawani,Mbona unatukumbusha mambo ya KRISS-KROSS tena!!
ReplyDeleteKaka yangu culture inabadilisha macho. Mimi nimeona vipisto hivyooooo.. Jeans ikikua haina vipisto pembeni lakini kwa bongo hapo burudani kabisa .... ila huku nilipo nshazoea kuona jeans inakukaa vizuri hivi....http://shinymedia.headshift.com/images/jeansboots2.jpg
ReplyDeleteSio na vipisto pembeni ....
Hii fesheni ilikuwepo miaka ya 80. Tulikuwa tunaita TINABUU!
ReplyDeleteNa ilikua miaka ya tisini siye tulita don't touch
ReplyDelete