klabu yetu hii imefungwa toka mwishoni mwa mwaka jana. suiniulize sababu; sijui na hakuna anayetaka kusema

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Panafanana na makao makuu ya Bin Laden, ndiyo maana wamefunga

    ReplyDelete
  2. mbona tunajua. Madiwani wanasema kwamba sehemu yake ya biashara ipo katika makazi ya watu. Natumaini hilisakata lipo kila upande sasa hivi kuanzia kwenye showroom za magari mpaka kwenye Night club.Mwenye Rose Garden naye alipata msuko suko lakini gear yake ilikuwa kubwa. Itafunguli tu wala wapenzi wasiwe na wasiwasi.

    ReplyDelete
  3. nimesikia wale wachina owners ndo wamegombana yaani hao share holders na ubaya waliingia mkataba wa ku rent wa miaka 5 na mwenye jongo now they have to solve their issues

    ReplyDelete
  4. jj blue iko mitaa gani hiyo wakubwa!

    ReplyDelete
  5. Salama kaka,
    Imekuwa bahati sana leo ndio natoka shule now napasha msosi jikoni nikaona nifungue news za Bongo maana huwa natoka mapema zinakuwa hazija uptodate

    ile kufungua nasoma mita naona nimekuwa wa Mil 3.....Ngoja nile nakutumia attachmanet yake sasa hivi

    Egidio

    ReplyDelete
  6. Nakutumia attachment sasa hivi namalizia kula.

    ReplyDelete
  7. In your dream, kula tu taratibu visije vikakukwame na shule njema

    ReplyDelete
  8. Haaaaaaaaaaaaaaa jamani mwenywe nilikua nataka kwenda JjBlue nikirudi Kinondoni kumbe bwerere imefungwa? Wasifunge club nzuri nzuri tuuuuuuuuuuuuuu.

    ReplyDelete
  9. DuH wamefunga hii club ndio mahala pekee bongo ungeona striples live yaani wale wadada wa kikenya walikuwa wanapaweka...kiana anyway ndio mambo ya buss...bila strategic plan hayo.Bongo cele...wetu vipi mnashindwa kupachukua na kuanza kuzungusha shows??
    Mdau, London

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...