Home
Unlabelled
jj blue
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Panafanana na makao makuu ya Bin Laden, ndiyo maana wamefunga
ReplyDeletembona tunajua. Madiwani wanasema kwamba sehemu yake ya biashara ipo katika makazi ya watu. Natumaini hilisakata lipo kila upande sasa hivi kuanzia kwenye showroom za magari mpaka kwenye Night club.Mwenye Rose Garden naye alipata msuko suko lakini gear yake ilikuwa kubwa. Itafunguli tu wala wapenzi wasiwe na wasiwasi.
ReplyDeletenimesikia wale wachina owners ndo wamegombana yaani hao share holders na ubaya waliingia mkataba wa ku rent wa miaka 5 na mwenye jongo now they have to solve their issues
ReplyDeletejj blue iko mitaa gani hiyo wakubwa!
ReplyDeleteSalama kaka,
ReplyDeleteImekuwa bahati sana leo ndio natoka shule now napasha msosi jikoni nikaona nifungue news za Bongo maana huwa natoka mapema zinakuwa hazija uptodate
ile kufungua nasoma mita naona nimekuwa wa Mil 3.....Ngoja nile nakutumia attachmanet yake sasa hivi
Egidio
Nakutumia attachment sasa hivi namalizia kula.
ReplyDeleteIn your dream, kula tu taratibu visije vikakukwame na shule njema
ReplyDeleteHaaaaaaaaaaaaaaa jamani mwenywe nilikua nataka kwenda JjBlue nikirudi Kinondoni kumbe bwerere imefungwa? Wasifunge club nzuri nzuri tuuuuuuuuuuuuuu.
ReplyDeleteDuH wamefunga hii club ndio mahala pekee bongo ungeona striples live yaani wale wadada wa kikenya walikuwa wanapaweka...kiana anyway ndio mambo ya buss...bila strategic plan hayo.Bongo cele...wetu vipi mnashindwa kupachukua na kuanza kuzungusha shows??
ReplyDeleteMdau, London