promota na mfanyabiashara mashuhuri alex kajumulo akipiga stori na waandishi farouk karim (kati) wa itv na redio one na ibrahim maestro wa clouds fm leo uwanja wa amani. kajumulo kesho anatoa vifaa kwa timu ya taifa ya visiwani na vilabu vya daraja la kwanza. pia anasema ana programu ya elimu ya utawala anayotaka kusaidia kutoa kwa viongozi wa vilabu

Kama kweli atatekeleza safi sana. Lakini nina shaka sana na huyu bwana kwani alishawahi kuonyesha makeke sana miaka ya nyuma huko na kisha kutokomea ilhali akiacha mipango yake mingi bila ya kukamilika. Na sioni kama kuna tofauti yeyote kati yake na Jaki Pemba ambaye walitofautiana na TFF. Watu sampuli hizi hupenda sana kusifiwa na watu.
ReplyDeletelakini huyu kidogo afadhali sio kama jack pemba alinunua timu ya sigara wachezaji walikuwa wanalipwa mishara alisaidia timu zote silizo shiliki ligi kuu na hakuwa na kashifa yoyote kwa kinadada sio kama huyo pemba
ReplyDeleteNaona uwanja wa Amani ulifurika sana siku hiyo...! Hapana shaka shaka kiingilio kilikuwa ni miguu...
ReplyDeleteHuyu BabuKaju huwezi mfananisha ma Jack Pemba.
ReplyDeleteHuyo bwana yupo makini na ana nia sana ya kuendeleza soka la nyumbani tatizo anakwamishwa na sisi wenyewe.
Alinunua Club ya sigara,kawapa kila huduma muhimu.Matokeo yake uongozi wa timu ukaanza kuvurunda.Unakumbuka wakina Julio ndio walikuwa makocha na kila siku wanajirusha kwenye kumbe za starehe mpaka majongoo sasa hapo utategemea nini.
Kaza buti Kajumuro,saidia ndugu zako.najua wewe dio hao wanaotaka kusifiwa sifiwa kwenye nyimbo tuu za Fm academia utafikiri wao ni chorous....
Mwenzenu mie mgeni, mambo ya mjini siyajui kwa sana .
ReplyDelete...haya ,... huyu kajumulo alinunua sigara kwa sh. ngapi? .. na alipoiacha alimuuzia nani, au alitoa bure kwa wanaoimiliki sasa ??????