mdau isaack kibodya tuko naye bongo mwezi wa pili sasa na nusura aahirishe kurejea ughaibuni kutokana na mikonozzz pamoja na mambokila kitu kukuta tambarare hapa mahali...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Amekimbia nini Marekani?

    ReplyDelete
  2. looking good IK. Mdau wa hapo juu acha roho mbaya kwani kwenda nyumbani ni kukimbia kitu. ulimbukeni huo.

    ReplyDelete
  3. maisha magumu

    ReplyDelete
  4. Ama kweli, Isaack Kibodya ni mdau wa siku nyingi, kwetu ukizingatia ndio msambazaji wa SANTURI za muziki wa kale. nahitaji kupata mawasiliano yake ya hapa, mtu watu tuliopoteana kwa muda.

    ReplyDelete
  5. Huyu kaka lakini much know sana ukikutana naye tu ..wewe ni nani, unaishi wapi, unafanya nini...Nilimshangaa sana na maswali yake.

    Please try to slow down...neworking au business haviendi hivyo kabisa

    ReplyDelete
  6. Stress za ughaibuni ni kubwa sana kuliko za Bongo kwa maana hiyo BONGO is a dream vacation. Hey mlio ughaibuni chumeni huko juani mje na kilichobaki kulia kivulini, BONGO Tambarare! Bongo Anasa!

    ReplyDelete
  7. mzee mzima kazi kujibandika kwenye net ! Kibodiya Umezeeka.

    ReplyDelete
  8. Kaka michu huyu Kibodya ana mke? je mkewe anaitwa nani? kuna wakati nilisikia maneno ameoa msichana ambae nilisoma nae miaka ya nyuma sana. je unaweza kuniambia jina la mkewe? asante kaka

    ReplyDelete
  9. Wee anonymous wa tarehe 9 vipi mwache kaka wa watu. Kwani umeambiwa hii blog ni yake!Picha iliyopigwa namaelezo yake mbona sioni tatizo! Mambo si kuzeeka na nini yanahusu nini..acha ushamba wewe..kama vipi.usimaindi vile vile

    ReplyDelete
  10. Huyo anayesema Kibodya kakimbia ulaya na aliyesema maisha magumu mbona jamaa karudi na jana tulikuwa nae. Watu wengine kupapatikia watu hata hawawajui loo! Basi kwa taarifa zenu jamaa katinga na hana noma na looking good, acheni ushamba.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...