Home
Unlabelled
zogo bandarini dar leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Haya hao 'wabinafsishaji' wawe makini mambo yasije watokea puani tu kwa mwendo huu!
ReplyDeleteSijui kwa nini hatujifunzi kutokana na makosa yanayofanywa katika nchi za mbali na jirani!!!
Msijidai ukenya sasa.Wenzenu wanauana huko,mkileta fyoko Tanzania bora mchukuliwe hatua haraka.Hakuna hajira nendeni shule,msilaumu watu.Kwani biashara bandarini tu.Hawa walizaliwa jana nini??? nchi hii imebadilika sana kulinganisha na miaka ya zamani,sasa mnamletea raisi mzuri fyoko muanzishe ya kenya na zimbabwe muibadili nchi iwe Liberia.
ReplyDeleteNa kweli wasitujazie fujo za kijinga,hawana kazi wakalime basi kwani ardhi imekimbia????
ReplyDelete