hapa ni makutano ya barabara za upanga na maktaba rodi. unakumbuka mdau hapa palikuwa na jengo gani?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Hapo bwana nafikiri ilikuwepo Mawenzi Hotel... au

    ReplyDelete
  2. Mpaka miaka ya sitini ilkuwepo kampuni ya TOM (Tanganyika Overseas Merchandise) ambapo baadae ilitaifishwa na kuwa Shirika la umma GAPEX!

    ReplyDelete
  3. MAWENZI HOTEL

    ReplyDelete
  4. jengo la aisco kama kumbukumbu yangu iko sawa

    ReplyDelete
  5. Yalikua Makao makuu ya shrika la umma lilikuwa linaitwa AISSCO
    Jamani Dar ina wenyewe

    ReplyDelete
  6. ilikua ofisi ya AISCO ambapo sasa hivi ni mali na NSSf kama sikosei. Mawenzi Hotel ipo kwenye ujenzi sasa hivi

    ReplyDelete
  7. Brother Michuzi.

    Hapo kwenye kiwanja kulikuwa kampuni inaitwa Ridoch Motors kama sijakosea. Naruhusu kurekebishwa kama nimekosea. Kwa upande mkabala palikuwa na mawenzi hotel ambayo ilivunjwa na wanajenga hotel nyingine hapo.

    ReplyDelete
  8. Hapo palikuwa na club ya yanga, kabla michuzi na hao wakuja wenzako hamjaja mjini, mkakuta AISSCO ipo hapo.

    ReplyDelete
  9. KIWANJA MALI YA MAFISADI HICHO!

    ReplyDelete
  10. hapo kama sikosei palikuwa kituo cha mafuta na kama watu mna kumbuka kuna mtu maarufu alipata ajali yeyena girlfriend wake(nigga one)wakafariki au kiurahisi inatizamana na YWCA NA KANISA LA SAINT ALBAN.

    ReplyDelete
  11. Hapo ni Mawenzi Hotel ambapo patakuwa Eclipse Hotel

    ReplyDelete
  12. WEWE anonymous wa Thursday, January 31, 2008 7:51:00 PM EAT, AMA KWELI UNASTAHILI KUFA SASA KAMA HAPO PALIKUWA CLUB YA YANGA BASI WEWE LAZIMA NI MZEEE SANA UNASTAHILI KUFA.UNAJUA HATA HIYO AISCO NI ZAMANI PIA SASA UKINIAMBIA KABLA YA HAPO ILIKUWA CLUB YA YANGA YAANI HATA JOMO KENYATAA UMEMZIDI UMRI BORA UFARIKI TU, ILA NACHOKUSIFU BADO UNAONA MPAKA UKO KNY ULIMWENGU WA TECHNOLOGY INAWEZA SOMA BLOGS
    SALUTE MAN.

    ReplyDelete
  13. hiyo taimu hata yanga haijaanzishwa bado, huyu labda Eliani kutoka sayari nyingine

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...