Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Habari wanablog, mimi nitaomba kutoka nje kidogo ya habari hii. ninabeba mabox kwa bush, nimepoteana na rafiki (ni kama ndugu) aitwae MERIAN NTUAH (mama Jessica) kwa muda wa miaka mingi sana, naomba yeyote mwenye taarifa zake anisaidie kama namba ya simu, anapofanya kazi na anapoishi. ninaarajia kuja bongo next week na ninahitaji kuonana nae.

    ReplyDelete
  2. haijambo wewe anonmous wa kwanza unajiwa unalolifanya kuhusu kipanya umesahau jambo mmoja inawezekana pia kujifunza na ghasia kua, kuchoma moto na kadhalika ulisahau hili

    ReplyDelete
  3. Jibu hapo ni all of the above.

    ReplyDelete
  4. WALE WANAODHANI CCM INAJIFUNZA NADHANI HATA DARASANI WSALIKUWA NYUMA, KWANI LILILOFANYIKA KENYA LILIANZIA ZANZIBA WALA HALINA TOFAUTI HATA KIDOGO, WATANZANIA WALIKIMBILIA KENYA, NDIO MAANA SASA TUNASHINDWA KUMKATAA KIBAKI KWA KUJINYAKULIA MADARAKA KWANI KAMISHINA WA TUME AMETHIBITISHA HIVYO LAKINI SISI HUKU TUNASEMA AMESHINDA TENA!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...