Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Habari wanablog, mimi nitaomba kutoka nje kidogo ya habari hii. ninabeba mabox kwa bush, nimepoteana na rafiki (ni kama ndugu) aitwae MERIAN NTUAH (mama Jessica) kwa muda wa miaka mingi sana, naomba yeyote mwenye taarifa zake anisaidie kama namba ya simu, anapofanya kazi na anapoishi. ninaarajia kuja bongo next week na ninahitaji kuonana nae.
ReplyDeletehaijambo wewe anonmous wa kwanza unajiwa unalolifanya kuhusu kipanya umesahau jambo mmoja inawezekana pia kujifunza na ghasia kua, kuchoma moto na kadhalika ulisahau hili
ReplyDeleteJibu hapo ni all of the above.
ReplyDeleteWALE WANAODHANI CCM INAJIFUNZA NADHANI HATA DARASANI WSALIKUWA NYUMA, KWANI LILILOFANYIKA KENYA LILIANZIA ZANZIBA WALA HALINA TOFAUTI HATA KIDOGO, WATANZANIA WALIKIMBILIA KENYA, NDIO MAANA SASA TUNASHINDWA KUMKATAA KIBAKI KWA KUJINYAKULIA MADARAKA KWANI KAMISHINA WA TUME AMETHIBITISHA HIVYO LAKINI SISI HUKU TUNASEMA AMESHINDA TENA!
ReplyDelete