kwa mujibu wa taarifa kutoka Benki Kuu Ya Norway imetaarifu kuwa noti zaKroner 50 zenye picha ya Aasmund Olavsson Vinje, zilizotengenezwa kwenye kipindi cha mwaka 1984 na 1996, mwisho wa kutumika ni mwezi Januari mwaka huu tarehe 28.


kwa hiyo wadau wanashauriwa kuzibadili kabla ya tarehe iliyotajwa hapo juu.Kwa maelezo zaidi piga simu
Benki Kuu Norway
+47 22 31 60 00.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Jamani hivi kuna watu ambao bado wanatumia nyumba zao kama benki?

    ReplyDelete
  2. Yeah, Mimi mmoja wapo lakinisina hiyosijui kroner

    mdau -USA

    ReplyDelete
  3. Sasa hiyo taarifa unayotutupa ina faida gani kwetu hapo mwananyamala au gongo la mboto? au unajifuna uko kule ughaibuni ukidoea hizo korona?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...