jk akiwa ameongozana na mama wa kwanza salma kikwete akigongesheana na mmoja wa maelfu ya watu waliohudhuria sherehe za miaka 44 ya mapinduzi ya zenj leo uwanja wa amaan

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Kaka michuzi kwa misifa kumbe umeenda kumichuzi unasema umeenda vacation ahaaa nimekukamata leo ngoja daily news wakusikie wamekutuma kazini wewe unatamba uko likizo nyie nyie na hela za umma hizo

    ReplyDelete
  2. Jamaani, msaada kwenye tuta. Kama kuna mtu anafahamu historia asilia ya Mapinduzi ya Zenj tafadhali airusihe hapa tusome wote. Iwe summarised inayobeba kila kitu.

    Sisi tumesoma historia ya mapinduzi ya Zenj miaka hiyo, lakini sasa hivi kila mwaka kunakuja data mpya na tofauti. Zinatuchanganya ati! Mapinduzi najua maana yake ni kumng'oa Mwarabu. Sasa hizi habari za Juma Shamte na Generali Okello zinatoka wapi na zimeanza anzaje ghafla? Basi huko Zenj kuna sintofahamu kubwa sana ati!

    Tafadhali saidia

    ReplyDelete
  3. Huyo dada nyuma ya mama salma kama namfahamu vile? ni Devotha Rwezaula? Nakubmuka nilisomae nae A level pale Ifunda tech mwaka 2003 how comes sasa hi namuona nyuma ya mama salma? yupo wapi siku hizi? long time kweli sijamuona.anayejua alipo naomba aniambie.

    ReplyDelete
  4. Mwenzenu iglishi not richabo, hivi vacation ndio safari za kikazi kwa wahabari???..

    ReplyDelete
  5. Michuzi,
    Kuna kijana anonymous Tan 13, 2008 1:27 Hrs(AM) EAT wanataka kuelewa historia ya mapinduzi Zanzibar.
    Namshauri atembelee webusaiti http://www.zanzinet.org/zanzibar/
    history/wanamapinduzi_new.html
    Maana historia hutufunza tulipotoka, tulipo na tunapoelekea.
    Mdau
    Reading City
    England

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...