Wakati wengine wanasherehekea Mwaka Mpya 2008 kwa vyakula vya kigeni mie sikuacha asili. Hao ni ensenene a.k.a BK prawns! ' Nzinula Kushang'e Nyama' yaani ni watamu kuliko nyama! Wale wa BK na wakwe zako huko UG watathibitisha hili!
Mdau Lily!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Bro senene hao wanikumbusha mbali sanaaaaaaaa

    ReplyDelete
  2. Nyoo nile grasshoper kwani mboga zimeisha?! Ukiweza kula senene basi na vunza pia waweza kula!

    ReplyDelete
  3. IWEE NIKUGAMBIRE SENENE NI WATAMU SANA MSHAIJA AIJA.

    ReplyDelete
  4. wewe unayesema ule grasshoper acha ushamba, kama hujui basi hata ulaya ziko restaurant zina sevu insects na ni delicatese kubwa

    ReplyDelete
  5. Mhh, zina siri yake hizo, waachie wenyewe wanaojua kuzitafuna...usije ukasema sijakutonya. SHAURILO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...