hii ni hesbau ya sasa hivi...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Bro Michuzi, Please remind me again what should i do to win or rather to participate

    ReplyDelete
  2. Sidhani kama Babali atarudi. Hii miezi sita ya uchunguzi iliyotolewa ukiunganisha na muda aliokaa ng'ambo.

    Nadhani ni zaidi ya mwaka na hii ni kumwezesha jamaa atafute "kichaka" kinachofaa kujificha. Na pia naungana na msemaji aliyepita kuhusu uteuzi wa mwenyekiti wa bodi na kuwapo kwa Mgonja katika hiyo bodi hao jamaa lao moja. Megji pia hawezi kukwepa lawama hii.

    Kwa kusema alikuwa hajui nini kinaendelea "ignorance of the law has no defence" nadhani wale waliobobea kwenye masuala ya sheria wanaweza kutoa ufafanuzi zaidi. Lakini huwezi kupanda mahindi ukategemea kuvuna kahawa. Ukipanda uovu uatavuna ... Haya... ngoja tuone. Mfurukutwa.(UK)

    ReplyDelete
  3. jamani sielewi kinachoendelea hapo juu(hizo numbers).Huu mchezo wachezwaje?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...