Waziri Mkuu, Edward Lowassa akizungumza na uongozi wa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe baada ya kupokea Rispoti ya Ukusanyaji Maoni Juu ya Uboresaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu kufuatia Agizo la Waziri Mkuu alilolitoa 7/12/2007. Kulia ni Waziri wa Sayansi, Tekinolojia na Elimu ya Juu, Pofesa Peter Msola.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Yaani Msola bado yupo tu "Wizara ya sayansi na elimu ya juu"?? Anatakiwa afukuzwe tu kwani anaendelea kurudisha nyuma maendeleo ya elimu Bongo! Amakweli CCM wamezoea kulindana. Mungu ibariki Tanzania.
    Kidume, USA
    poelmart5@yahoo.com

    ReplyDelete
  2. hao wanafunzi walivyokaa hapo wanaonekana ni waoga sana na hakuna chochote wanaweza kuargue na Lowassa zaidi ya ndio mkuu...hii nidhamu ya woga ni ya kishenzi sana,halafu kwanini wawaulize wanafunzi eti namna ya kuboresha mikopo,yaani ni kazi ndogo sana na kuna hii tech ya siku hizi basi imerahisisha kila kitu lakini basi ni upuuzi tuu umewajaa,kazi hiyo wape watu professional waambie nini unataka watakufanyia kazi perfect na mikopo yote itakuwa perfect 100%...lakini kwa kupenda siasa na umaarufu ndio kujiitisha vikao vya kupoteza muda tuu,na wewe michuzi washauri hao vitu kama hivyo siku hizi kuna software za kila aina,inasikitisha sana

    ReplyDelete
  3. KWA TAARIFA SASA HIVI KUNA WASOMI BINAFSI WALIOBOBEA KATIKA FALSAFA YA KISASA NA AKILI ASILIA ,WALIOMALIZA MCHAKATO WA AWALI WA TOFAUTI KATI YA TAFITI KATI YA AKILI KARIRIFU NA AKILI BUNIFU. MCHAKATO HUU NI KWA AJILI YA KUKOMBOA UMASIKINI MAARIFA UNAOZIKABILI NCHI MASKINI DUNIANI. MKUU WA KITENGO HICHO NI TUMAINI GEOFREY TEMU aka PROF DR ING SOMA MAKALA KATIKA http://fie.engrng.pitt.edu/icee2006/papers/3399.pdf

    NIA NA MZUMUNI NI KUZIKA MTINDO MAZOEA YA ELIMU TUNATAKIWA KUWAKUMBUSHA WASOMI KWAMBA SABABU KUBWA ILIYOSABABISHA WAO KUSOMA NI KUFAULU TUU HIYO NI SABABU NDOGO SANA TUNATAKA WAE WATU WALIOPEWA MBEGU ELIMU WAKATI WAA NJAA ILI WAWE NA NGUVU YA KUWAWEZESHA WENGINE WAJITAMBUE NA WAOMBE MSAMAHA . NAOMBA RASMI KUMKARIBISHA DR COMFUSIOUS KWENYE HII PROJECT NA WENGINE WENGI AMBAO NI ANOMIOUS. ESPECILA HUYU ANON ALIYETOA MANI AKISEMA UGONJWA WA UCHAGUZI. KWA TOVUTI HII IMEONYESHA WATANANIA WANA MAARIFA AMBAYO HAYAJAONEKANA HATA KABLA YA KARNE YA KWANZA. MY EMIAL tgeofrey@yahoo.com Moshi tanzania

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...