Waziri Mkuu Mh. Edward Lowassa akimshukuru rais wa serikali ya wanfunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Anthony Mtaka ambaye alimkabidhi ripoti ya ukusanyaji wa maoni kuhusu uboreshaji wa bosi ya mikopo ya elimu ya juu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. kaka michu mbona unatumix huyo jamaa sio rais wa chuo kikuu mzumbe bali aliyeko nyuma ndio RAIS embu fanya uchunguzi wa kina au may be ni TYPING ERROR,
    NI mimi mwana BLOG 04

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...