Home
Unlabelled
lowassa akiwa mzumbe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Yaani Msola bado yupo tu "Wizara ya sayansi na elimu ya juu"?? Anatakiwa afukuzwe tu kwani anaendelea kurudisha nyuma maendeleo ya elimu Bongo! Amakweli CCM wamezoea kulindana. Mungu ibariki Tanzania.
ReplyDeleteKidume, USA
poelmart5@yahoo.com
hao wanafunzi walivyokaa hapo wanaonekana ni waoga sana na hakuna chochote wanaweza kuargue na Lowassa zaidi ya ndio mkuu...hii nidhamu ya woga ni ya kishenzi sana,halafu kwanini wawaulize wanafunzi eti namna ya kuboresha mikopo,yaani ni kazi ndogo sana na kuna hii tech ya siku hizi basi imerahisisha kila kitu lakini basi ni upuuzi tuu umewajaa,kazi hiyo wape watu professional waambie nini unataka watakufanyia kazi perfect na mikopo yote itakuwa perfect 100%...lakini kwa kupenda siasa na umaarufu ndio kujiitisha vikao vya kupoteza muda tuu,na wewe michuzi washauri hao vitu kama hivyo siku hizi kuna software za kila aina,inasikitisha sana
ReplyDeleteKWA TAARIFA SASA HIVI KUNA WASOMI BINAFSI WALIOBOBEA KATIKA FALSAFA YA KISASA NA AKILI ASILIA ,WALIOMALIZA MCHAKATO WA AWALI WA TOFAUTI KATI YA TAFITI KATI YA AKILI KARIRIFU NA AKILI BUNIFU. MCHAKATO HUU NI KWA AJILI YA KUKOMBOA UMASIKINI MAARIFA UNAOZIKABILI NCHI MASKINI DUNIANI. MKUU WA KITENGO HICHO NI TUMAINI GEOFREY TEMU aka PROF DR ING SOMA MAKALA KATIKA http://fie.engrng.pitt.edu/icee2006/papers/3399.pdf
ReplyDeleteNIA NA MZUMUNI NI KUZIKA MTINDO MAZOEA YA ELIMU TUNATAKIWA KUWAKUMBUSHA WASOMI KWAMBA SABABU KUBWA ILIYOSABABISHA WAO KUSOMA NI KUFAULU TUU HIYO NI SABABU NDOGO SANA TUNATAKA WAE WATU WALIOPEWA MBEGU ELIMU WAKATI WAA NJAA ILI WAWE NA NGUVU YA KUWAWEZESHA WENGINE WAJITAMBUE NA WAOMBE MSAMAHA . NAOMBA RASMI KUMKARIBISHA DR COMFUSIOUS KWENYE HII PROJECT NA WENGINE WENGI AMBAO NI ANOMIOUS. ESPECILA HUYU ANON ALIYETOA MANI AKISEMA UGONJWA WA UCHAGUZI. KWA TOVUTI HII IMEONYESHA WATANANIA WANA MAARIFA AMBAYO HAYAJAONEKANA HATA KABLA YA KARNE YA KWANZA. MY EMIAL tgeofrey@yahoo.com Moshi tanzania