Waziri Mkuu Mh. Edward Lowassa akisalimiana na wafanyakazi wa Kampuni ya Tanzania Standards Newspaers (TSN) waliokuwa kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma jana kuonyesha na kutangaza shughuli za magazeti yakampuni hiyo ya Daily news, Sunday News na Habari Leo. Wafanyakazi hao kutoka kushoto ni Rahab Kibiona, Fatuma Kilinda na Regina Kumba

Mhh, kuna something huko! Naomba apppointment angalau kuja kusoma kagaezti ya zamani.......!
ReplyDeleteHIS MASTERS VOICE.....HAWA HAWANA MAADILI YA UANDISHI KWANI WAO HABARI NI ZILE ZA VIONGOZI SERIKALINI NA CCM, NI HAOHAO WALOKUWA WAKIWABEZA WAPINZANI KUHUSU UFISADI BENKI KUU.
ReplyDeleteSijawahi kumuona Michuzi akisalimiana na Viongozi wetu..Raisi, Makamu wa Raisi, waziri mkuu etc huwa mara nyingi namuona akiwa Lunch na watu wadogowadogo!!
ReplyDelete