ZOEZI LA KUMPATA MDAU WA MILIONI 3 LINAKARIBIA. MFADHILI AKIPATIKANA KAMA SAFARI ILE YA MDAU WA MILIONI 2 ALIYELAMBA DOLA 500, NITATANGAZA ZAWADI NA NAMNA YA KUINGIA KWENYE BAHATI NASIBU HII.
AIDHA, WALE WADAU WALIOTABIRI MATOKEO YA MECHI YA MANCHESTER NA ARSENAL WAKATI ULE MWAKA JANA PIA WAKAE MKAO WA KULA. KUNRADHI KWA KUTOTANGAZA MATOKEO KUTOKANA NA SABABU ZILIZOKUWA NJE YA UWEZO WA GLOBU HII. HIVYO MSIWE NA WASI MAJINA YAPO YOTE SABA NA MSHINDI ATAJULIKANA JUMAPILI IJAYO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Afadhali umekiri mwenyewe mapema, maana tu tulikuwa tunasubiri kije kitu kingine, au useme kuna mashindano ya kushiriki, alafu ndio tukumbushie vipi tebeneke la zawadi ya mechi ya Arsenal na Man. Poa hiyo imeeleweka, tunasubiri.

    ReplyDelete
  2. finally muzee bora umetukumbushia washindi sie shindano letu ngoja nianze kupangia budget dola zangu mia tano angalau kidoooog imani yaanza kurudi kwako misupu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...