Habari kaka Michuzi,

Heri ya mwaka mpya 2008
asante kwa globu yako hii ambayo kabla cjaanza kazi kila siku lazima nifungue na nimeifanya my home page
naomba kuwatafuta wote niliosoma nao Nyanza Primary School mwaka 1993 na Lake Secondary School mwaka 1997 mjini mwanza.
Email zangu ni hizi
Land line:2122201
Mobile: 0754686199
Rose P. Maduhu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. bwana maduhu nashukuru sana kwa kupata mtu aliyesoma Nyanza unfortunately tumesoma miaka tofauti, mi nimekula chumvi kidogo nilisoma nyanza standar one and two in 1982-83. Nina hamu sana ya kupata picha ya nyanza primary school, kama una sources zozozte nitashukuru.. sana

    ReplyDelete
  2. hi Rose, mie nimesoma Nyanza 1988-1994 (Mwl Tumbo akiwa mkuu wa shule),na ninaishi jirani na shule ya nyanza nkrumah street.

    ReplyDelete
  3. Hi rose Mimi nilimesoma nyanza mwaka 1978-1983 nilipohamia shinyanga, wakati huo mwalimu "seti" ndiye alikuwa mkuu wa shule

    ReplyDelete
  4. ya namkumbuka Mwalimu Seti, Jina lake kamili lilikuwa suleiman kama sikosei.Enzi hizo mwanza kuna jamaa alikuwa anaitwa Shaft ukiampa sigara tu anampa kibano teacher yoyote anajifanya mnoko.Kama unakumbuka Mwalimu Maji(Marehemu) shaft amlishughulikia....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...