Habari yako bro. Michuzi!!
Kheri ya mwaka mpya kwa wapenzi wote wa hii blogu!
Asante sana kwa blog yako ambayo anatusaidia kupata taarifa mbalimbali za hapa na pale. Napenda kuchukua nafasi hii kuomba msaada kwa mtu yeyote anayemfahamu "JOYCE BENEDICTO" tulisoma naye shule ya msingi Bwiru miaka ya (88-89) na baada ya hapo mimi nilikwenda Pamba sec. na yeye alikwenda Moshi Tech. (91.93)
tafadhali kama kuna mtu anayemfahamu au mwenye taarifa zake basi tuwasiliane kwa emailhii : emmmy_27@hotmail.com
Natanguliza shukruni
emmy kalikawe
emmy kalikawe
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...