
hapo chini kuna breking nyuzzzz imeingia sasa hivi...
BREKING NYUUUZZZZZZZZZZZZZZZZZZZ!!!!
Matokeo ya upigaji kura katika kitongoji cha Noxville, NH yametoka punde tu, na Obama ameshinda huku Hillary Clinton akiambulia patupu. Kwa republican Mccain anaongoza...but who cares? Zoezi la upigaji na kuhesabu kura bado linaendelea.
Mdau Jacob.
Mbona hujatuwekea picha za harusi ya STEVEN CHUWA wa ITV? acha ubaguzi mbona ya Banana Zoroh uliweka.
ReplyDeleteHuyu kaka wa Kimanda namkumbuka sana alikuwa ana uwezo wa kula debe zima la mayao bila kunywa maji daa watu wametoka mbali!
ReplyDeleteTONY MWASI UTOPA NA UACHE LIKOMO SASA!
HONGERA BABA!
michuzi, mbona hata uchaguzi wenyewe bado, usiwe na pupa kijana, sometimes inabidi kufanya uchunguzi kable hujaandika habai kama hii.
ReplyDeleteilatukumbuke kuwa sehemu yenyewe kuna wapiga kura wasiozidi 20 na Obama kapata kura 7 kwa hiyo mambo bado kabisa
ReplyDeletenani kasema uchaguzi bado? unajua unalosema ndugu? Na weye unayesema jimbo lenyewe lina wapiga kura wachache unajua unachoongea kweli? hiyo ratio anayoipata Obama inatosha kabisa kuwamaliza wapinzani wake. Je mnajua kwamba Hillary anafikiria kuachia ngazi? matokeo yanazidi kumiminika na Obama bado yuko matawi ya juu! kanyakua kitongoji kingine cha Hart's...kapata 9, Hillary 3 na Edwards 1. Kitongoji cha kwanza alipata 7, Edwards 3, na Hillary 0.
ReplyDeleteKaka Michuzi usiwe na wasiwasi wadau tunaujua vilivyo utaratibu mzima wa uchaguzi huu na tunaufuatilia kiundani kwa manufaa ya wasomaji wa mtandao wetu.
Am bit confused the way issue is presented over here, it seems that the one who brings the information is very enthusiastic with such overwhelmed data.Je ni ka nini anashabikia sana kuleta habari za huyu kijana ambaye ni product of artificial insermination through donation of sperm from Kenyan.
ReplyDeleteJe ama nafurahia kwa sababu ya rangi yake,does this not suggest racism,or means empowerment of minority ethnic in USA.
Any way kama ni kwa sababu ya changes kutokana na kwamba kubadilishana kwa Chama cha Bush,na kingie cha akina Clinton hapa nitamwelewa,lakini ni kama anashabikia kwa upeo wa rangi,na utaifa mimi nitakuwa na wasiwasi na uwezo wake wa kuleta habari zisizo na chembe ya mgawanyiko.
Labda pia ni kwa sababu ya Globalisation perspective,it doesn’t click in my mind the significant of Obama to the society of deprived people of Africa.Ha ha ha ha ah!!!Labda atabadilisha mawazo na kuondoa majeshi Iraki,labda atalishughulikia kisawasawa suala la Israeli na Palestina,Labda,atapelekea nguvu zake Darfur mimi ningeona mihadi (commitment)yake ndio labda ningeshangilia na kuwa na mchecheto wa taarifa za Obama.
Lakini ni vema unavyofanya kututambulisha hatua za uchaguzi unavyokwenda,ingawa hukufuatilia wa Kenya,manake wewe ungeachwa na data zako kwenye mataa,na wajuaji wakawa na yao ,yaani hii ni rasharasha ya kukueleza hata UDSA hadi leo hawana jibu la msingi kilichofanyika kwa Algore.Kwa hiyo wewe shangilia tu.
Wewe mdau wa Jan 8,4:41:00 kichwani ni bure kabisa. Nyie ndio mliokuwa mnasema salim hawezi kuwa rais sababu anadamu ya kiarabu. Kama kila mtu angefuatiia uchaguzi wa kenya habari za USA tungezipata wapi?. Obama is the man, amewaonyeha wazungu kuwa hata african america anaweza kuwa rais wa hilo taifa kubwa. hata kama asipochaguliwa lakini ameonyesha kuwa hakuna kisichowezekana duniani. Inabidi kumpa pongezi maana kumshinda Clinton kwenye majimbo yenye 96% white, ujue kuwa jamaa ni smart.
ReplyDeleteKila mtu anayo haki na uhuru wa kushabikia anachotaka iwe ni nchiyake au si nchi yake wote ni wana wa mungu. Obama oyee, Brazil oyee, Celtics oyee. Ntashabikia Afrika kama wataweza kuuungana. Bob Alisema How pleasant it would be to see unification of Africa. Afrika kumejaa hila na itikadi tofauti miongoni mwa matabaka makabila, na koo. Ukoloni bado upo utumwa bado upo katika sura tofauti. Kijana Obama ni mpigania haki za rangi na ni mfano wa maendeleo na mapinduzi ya rangu ndani ya Amerika. Lazima uelewe Historia ndio utaelewa kwa nini washangiliaji wanashangilia na wanashangilia nini? Si ushindi wa Obama tu bali yale mabadiliko katika jamii za watu aina mbalimbali. Sio kitu kidogo Obama kumshinda Hilary au Romney katika uchaguzi wa aina yoyote. Wengi wanawaogopa wazungu na kuwaabudu mno kwa lolote wafanyalo na wasemalo, kijana Obama Harvard imemsaidia kuondoa kasumba hizo na anasema kwamba ubaguzi upo lakini kuna mabadiliko na maendeleo katika maswala ya ubaguzi. Dunia inapaswa kupata message, rangi yako sio deal, deal ni kichwa chako uwezo wako na confidence yako. Jambo lolote unalotaka usijiweke nyumba eti kwa vile wewe ni mtu mweusi, huo ndio ujumbe mkuu wa huyu Obama. hana haja ya kukusaidia kuondoa umaskini wako zaidi ya kukupa hiyo message muhimu sana.
ReplyDeleteWe anony wa 4:41pm vipi? mbona mambo yako kama mji usio jumbe!
ReplyDeleteSi ubaguzi ni upendeleo wa wazi na hakuna ubaya hapo, bila upendeleo hii ndio siasa.
Ni sawa na wewe kuandika kiswanglish hakikufanyi kuwa karibu na walami.
Obama anapigiwa kura na matabaka mbalimbali na ni binadamu kama wewe ingawa wewe unajitia kumjua baba yako.
Fanya DNA kwanza kabla ya kutukana watu hata wewe unaweza kuwa umekuja kwa mtindo huo huo.
Unasikitisha sana!
Hey Michuzi, sio Knoxville, NH; ni Dixville Notch, NH; sahihisha hiyo maana inapotosha watu. Thankx
ReplyDelete-Mtui, Hoover, AL.
Mngoni unambwembwe wewe? mpaka ukapiga picha na next prezidaaa......ops I meant mtarajiwa. lakini umependeza kaka Tony.
ReplyDeletewewe mdau unayejiita jacob niliposema sehemu ina watu wasiozidi 20 nilikuwa najua ninachoongea na matokea ndiyo hayo Hilary kashinda NH na hivo breaking news zenu za Obama kushinda ziko wapi?
ReplyDeleteHapa siyo swala tu la kushabikia rangi hapa ni mahali pa kuleta habari zilizo sahihi ili tupashane na tuelemishana siyo kushabikia tu after all bongo tuna matatizo yetu.
Najua utatamani kubadili kauli yako. Tunamuombea Obama ashinde lakini si kutuletea habari ambazo si sahihi na za kishabiki
Muungwana you are joking!!!Hilary kashinda NH????Mbona Jacob alisema vingine???Jamaa alikuwa anashinda kwa asilimia 80???Watu wengine bwana kha!!!!!
ReplyDelete