Home
Unlabelled
salamu toka utete
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
DUH SAM a.k.a ISSA NDO UMEKUA JIBABA NAMNA HII? JAMANI WATU WANACHANGE SANA.NAKUMBUKA MKIWA DOM
ReplyDeleteNA KAKA AKO SHEBBY ULIKUWA KADOGO
SANA HALAFU JINA LAKO LA ISA ULIKUWA HULIPENDI SANA.UNAFANYA NINI TURKEY? KITABU NINI? KILA LA HERI KARIBU UPSSALA.MIMI BINAM WENU ABDUL NIPO SWEDEN SASA.TUWASILIANE.MWAMBIE SHANGAZI AKUPE NAMBA YANGU.ABDUL
Inshallah Mwenyezi Mungu akujarie kila la heri na wadogo zako
ReplyDeletekaka michuzi tupe habari za GAVANA HARAKA IWEZEKANAVYO KAKA,TUPE NDEFU,TUNASIKIA KIKWETE AMESHAMUWAJIBISHAA!
ReplyDeleteMichuzi mbona unatuchanganya mara salamu za mwaka mpya zimefungwa mara hizo sasa ndiyo nini? Au unachagua watu wa kuwaweka...
ReplyDeleteDuh, Issa, naona kweli Familia yenu inafata Nyota ya Kijani!!! Mi nilifikiri wanao hao etii, kumbe ni wadogo zako? Wadogo zako Mashaalaah, haswa ki-Mimmy hicho.
ReplyDeleteOkay Kila la heri Katika Mwaka huu Mpya!!!