ASALAAM ALEYKUM BROTHER MICHU,

NATUMAI NI WAZIMA WA AFYA NJEMA.MIMI NA WADOGO ZANGU BITTE(KULIA) NA MIMMY(KUSHOTO) TUKIWA HAPA UTETE (UTURUKI) TUNAWATAKIA WADAU WOTE HERI YA MWAKA MPYA NA MAFANIKIO TELE.KILA LA HERINA MUNGU AWAPE YOTE YALIYO MAZURI HAPA NA KESHO PIA.

MDAU ISSA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. DUH SAM a.k.a ISSA NDO UMEKUA JIBABA NAMNA HII? JAMANI WATU WANACHANGE SANA.NAKUMBUKA MKIWA DOM
    NA KAKA AKO SHEBBY ULIKUWA KADOGO
    SANA HALAFU JINA LAKO LA ISA ULIKUWA HULIPENDI SANA.UNAFANYA NINI TURKEY? KITABU NINI? KILA LA HERI KARIBU UPSSALA.MIMI BINAM WENU ABDUL NIPO SWEDEN SASA.TUWASILIANE.MWAMBIE SHANGAZI AKUPE NAMBA YANGU.ABDUL

    ReplyDelete
  2. Inshallah Mwenyezi Mungu akujarie kila la heri na wadogo zako

    ReplyDelete
  3. kaka michuzi tupe habari za GAVANA HARAKA IWEZEKANAVYO KAKA,TUPE NDEFU,TUNASIKIA KIKWETE AMESHAMUWAJIBISHAA!

    ReplyDelete
  4. Michuzi mbona unatuchanganya mara salamu za mwaka mpya zimefungwa mara hizo sasa ndiyo nini? Au unachagua watu wa kuwaweka...

    ReplyDelete
  5. Duh, Issa, naona kweli Familia yenu inafata Nyota ya Kijani!!! Mi nilifikiri wanao hao etii, kumbe ni wadogo zako? Wadogo zako Mashaalaah, haswa ki-Mimmy hicho.

    Okay Kila la heri Katika Mwaka huu Mpya!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...